Lufulandama
Senior Member
- Jun 6, 2017
- 187
- 175
Safi sana nyie semeni utumbo wenu wa fini, Mbonde zaidi ya beki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo krosi ikipigwa holding midfielder ndio aruke kichwa au bekiUnajua kuna midfield mbili? Holding na attacking?
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
nazungumzia mipira yote hatarishi iliyopigwa kwa njia ya Cross!Kuna goli lilifungwa la mpira wa juu??
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Hata kama sio ofisi za simba wangetafuta sehemu yenye hadhi kidogo! Duu hiyo chochoro sijui ya wapi?Aliyekuambia hapo ni ofisi za Simba ni nani? Acha kiherehere mwanaume
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Defense yote inatakiwa Ifanye marking cjui kwa nini unamlenga Mbonde peke yake kana kwamba yeye Ndio the only defender? Au kwa kuwa kasajili Simba? Acha ushabiki wa kizamanikwa hiyo krosi ikipigwa holding midfielder ndio aruke kichwa au beki
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Probably umeathirika na vyeti feki midfield ilishindwa ku hold mipira na ku distribute matokeo midfield ya Zambia ili possess zaidi na kuzidisha mashambulizi langoni mwetu so ukitumia logic utakugundua both defense na midfield walizidiwa ila defense ilielemewa kutokana na uzembe wa midfield
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Na zote alitakiwa acheze Mbonde maana alikuwa Ndio the only defender? Kwa nn hulaumu full backs walioruhusu hizo cross?nazungumzia mipira yote hatarishi iliyopigwa kwa njia ya Cross!
Ukiondoa uzembe wa waZambia kupeleka nje ya goli zile header ilikuwa ni habari ya mabao 5 mpaka 6.
Waagizie chumba chako siku ingine waje kusainishia hapoHata kama sio ofisi za simba wangetafuta sehemu yenye hadhi kidogo! Duu hiyo chochoro sijui ya wapi?
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Ukiwa huna vyeti uelewa wako mdogo piasasa mbona unabadili maelezo mkuu,unafikiri vyeti vinahusiana na mpira ? hauko sawa
Hujielewi..!Mkuu.
Naona unapata shida kutofautisha "Uwezo" na "Ngekewa"....
Tafuta Kamusi ya TUKI karibu yako hapo ili uongezepo maarifa.[emoji23]
Sasa kama Fullback wamefanya kosa inakuwaje yeye kama Mlinzi wa mwisho na wa kati anashindwa kusahihisha makosa hayo kwa kucheza headers?Na zote alitakiwa acheze Mbonde maana alikuwa Ndio the only defender? Kwa nn hulaumu full backs walioruhusu hizo cross?
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Ukiwa huna vyeti uelewa wako mdogo pia
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Alisahihisha mengi sana ila kwa kuwa Una donge baada ya yeye kujiunga Simba huwezi kuona umegeuka chongoSasa kama Fullback wamefanya kosa inakuwaje yeye kama Mlinzi wa mwisho na wa kati anashindwa kusahihisha makosa hayo kwa kucheza headers?
Naona umeshindwa kupata tofauti ya "Uwezo" na "Ngekewa".[emoji23]Hujielewi..!
Andiko la mtu linatosha kujua uwezo wake piapale unapomdharau usiye mjua .
Unamaanisha alisahihisha makosa mengi ila ilipofika muda wa kucheza Headers akaona sasa apumzike kucheza hizo headers ili wengine wamsaidie?Alisahihisha mengi sana ila kwa kuwa Una donge baada ya yeye kujiunga Simba huwezi kuona umegeuka chongo
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Andiko la mtu linatosha kujua uwezo wake pia
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Air duel Ali win nyingi sana ila kwa kuwa amesaini Simba tufanye hivi hakuweza kuzuia free headers na Kama uliangalia mpira Zambia walicheza karibu 90% mipira ya chini hizo free headers labda uliziona weweUnamaanisha alisahihisha makosa mengi ila ilipofika muda wa kucheza Headers akaona sasa apumzike kucheza hizo headers ili wengine wamsaidie?
Mi sio mkaguzi wa vyeti hilo wajulishe mamlaka husikasawa mkuu sina cheti unajingine
Air duel Ali win nyingi sana