sasa nimejua wewe ni mtu wa dizaini gani.endelea kuimba taarabu ndugu nikikujibu tena nitukaneMi sio mkaguzi wa vyeti hilo wajulishe mamlaka husika
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Sio kama ile stoo ya mkwasaHiyo ofisi utadhani kibanda cha kuuzia vocha ndio Simba HQ?
Huwezi kuziona maana umevaa miwani ya mbao baada ya yeye kusaini SimbaHizo alizo win ni zipi? Mm mbona sikuziona kwenye hiyo mechi? ....
Au TV yangu Ndio mbovu?
Well it is your choice!? To me it won't make any differencesasa nimejua wewe ni mtu wa dizaini gani.endelea kuimba taarabu ndugu nikikujibu tena nitukane
Aerial duel's alizozicheza jamaa umeziona peke yako....[emoji23]Huwezi kuziona maana umevaa miwani ya mbao baada ya yeye kusaini Simba
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Hata mkeo aliona pia muulizeAerial duel's alizozicheza jamaa umeziona peke yako....[emoji23]
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Umenena vyema sana Mkuu kongoleSalum Mbonde karibu sana Msimbazi
Mpira ni uwanjani
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Pole kwa Povu ila ukweli ndio huo Mkuu.Hata mkeo aliona pia muulize
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
MPE hiPole kwa Povu ila ukweli ndio huo Mkuu.
Mke wangu anakusalimu...[emoji23][emoji23]
Ndiye yeye na alifungisha goli stars vs Lesotho kwenye AFCON qualifiers uwanja wa Chamazi mwezi Juni,2017.Alilambwa chenga akaishia kushika kichwaSi ndio huyu aliyekuwa anaruhusu waZambia waruke free header?
Kuna baadhi ya makocha wana uwezo wa kubadilisha aina ya uchezaji wa mchezaji...tusubili.Usisahau kuwa ni Mzito na Mvivu....
hahaha ngekewa marambiliMkuu.
Naona unapata shida kutofautisha "Uwezo" na "Ngekewa"....
Tafuta Kamusi ya TUKI karibu yako hapo ili uongezepo maarifa.[emoji23]
Km namona Tambweeeeee!Si ndio huyu aliyekuwa anaruhusu waZambia waruke free header?
Gongo wazi fc a.k.a makinikia fcNdio wepi hao mkuu
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app