Salumu mbonde ajitia kitanzi simba

Salumu mbonde ajitia kitanzi simba

Mi sio mkaguzi wa vyeti hilo wajulishe mamlaka husika

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
sasa nimejua wewe ni mtu wa dizaini gani.endelea kuimba taarabu ndugu nikikujibu tena nitukane
 
Hizo alizo win ni zipi? Mm mbona sikuziona kwenye hiyo mechi? ....

Au TV yangu Ndio mbovu?
Huwezi kuziona maana umevaa miwani ya mbao baada ya yeye kusaini Simba

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
sasa nimejua wewe ni mtu wa dizaini gani.endelea kuimba taarabu ndugu nikikujibu tena nitukane
Well it is your choice!? To me it won't make any difference

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kuziona maana umevaa miwani ya mbao baada ya yeye kusaini Simba

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Aerial duel's alizozicheza jamaa umeziona peke yako....[emoji23]

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Aerial duel's alizozicheza jamaa umeziona peke yako....[emoji23]

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Hata mkeo aliona pia muulize

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Salum Mbonde karibu sana Msimbazi
Mpira ni uwanjani

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Salum Mbonde karibu sana Msimbazi
Mpira ni uwanjani

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Umenena vyema sana Mkuu kongole

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Hata mkeo aliona pia muulize

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Pole kwa Povu ila ukweli ndio huo Mkuu.

Mke wangu anakusalimu...[emoji23][emoji23]
 
Daah huyu kaka nilisoma nae O'level he is very humble afu alikuaga na miakili mwee!

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Si ndio huyu aliyekuwa anaruhusu waZambia waruke free header?
Ndiye yeye na alifungisha goli stars vs Lesotho kwenye AFCON qualifiers uwanja wa Chamazi mwezi Juni,2017.Alilambwa chenga akaishia kushika kichwa

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
 
Mbonde anatisha lakini naona kuna watoto vipaji vinaenda kufa,kuna madogo watakula benchi na vipaji vyao
 
bf0e200c8fe2b59810346576f164d86b.jpg
Hii ofisi utadhani chumba cha Mwalimu Mkuu. Yanga HQ?
 
Mikia hapo mmeingia chaka,mlivyokuwa mnasikia jina la mbonde linatajwa tajwa jangwani mkajua ni mbonde huyu,sisi tunabeba ile mbavu nene stamili mbonde striker ya ukweli
 
Ivi kwa nini simba wakisajiri yanga lazima wakosoe mbona huyo mchezaji kabla hajawa simba hamkusema kuwa ni mzee hamkusema kuwa mvivu daaa hii tabia sijui itaisha lini rooney kasaini evetoni mbona hakuna maneno mzee

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom