Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Wachezaji waliotoka mtibwa wakafia yeboyebo Baanuzi,Javu,Dante mzee wa kujifunga, Kado,Mikia hapo mmeingia chaka,mlivyokuwa mnasikia jina la mbonde linatajwa tajwa jangwani mkajua ni mbonde huyu,sisi tunabeba ile mbavu nene stamili mbonde striker ya ukweli
Ni kweli mkuu ndio maana Andrew Vicent anamuweka Benchi huyu jamaa timu ya taifa,hawezi kuanza mbele ya DanteAsingeweza kusajiliwa Kwa Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania...
Tuliona uwezo wake, tukaamua kubeba Andrew Vincent.
Ni kweli mkuu na ngekewa huwa inatokea zaidi ya mara mbili,mechi mbiki zoteMkuu.
Naona unapata shida kutofautisha "Uwezo" na "Ngekewa"....
Tafuta Kamusi ya TUKI karibu yako hapo ili uongezepo maarifa.[emoji23]
Taja waluotoka Simba wakafia Yanga ..[emoji23]Wachezaji waliotoka mtibwa wakafia yeboyebo Baanuzi,Javu,Dante mzee wa kujifunga, Kado,
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Ngoja tumsaidie MkuuTaja waluotoka Simba wakafia Yanga ..[emoji23]