Unajua maana ya alichosema yaani "Sera"Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRL, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
Ukiwa na sera nzuri mashirika yataendeshwa kwa ufanisi mkubwa sana! Na hapo kwenye sera ndipo serikali ya CCM imefeli vibayaMwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi.
Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.
My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Umekurupuka mzee!Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRL, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
Unaikumbuka PSRC chini ya Mkapa ilifanya nini? Je unawajua NET SOLUTION sijui unaijua Simu 2000. TRL Tanzania hakuna kitu kama hicho.Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRL, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
Mkapa alikuwa CCM au Chadema??? Sera za Mkapa ndo za Chadema kwani???Unaikumbuka PSRC chini ya Mkapa ilifanya nini? Je unawajua NET SOLUTION sijui unaijua Simu 2000. TRL Tanzania hakuna kitu kama hicho.
Kwa utumbo huu bado kuna mtu anakaa na kupigia debe wapewe nchiMwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi.
Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.
My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Wakishirikiana na Mayanga?Chadema hii nchi wataigawa vipande vipande time will tell
Toa hoja usipanicUmekurupuka mzee!
Sera zilikuwa mbovu, aidha Magufuli kataifisha kwa sera mbovu kabisa kabisa. Lipo shirika moja amelichukua kimabavu ila ni mwaka sasa kalitelekeza. Nyie hamuwezi kuelewa kwa undani ila sisi tuliopo huku juu tunajua ushenzi mwingi sana aliofanya Magufuli.Umesahau kuwa Ubinafsishaji ulishawahi kufanyika??
Lete clip1. MAGUFULI ALISEMA ANATAKA MATAJIRI WAISHI KAMA MASHETANI.
2MAGUFULI ALISEMA AKIWA RAIS WA TANZANIA WATANZANIA TUTALIMIA MENO.
Utakuwaje kiongozi wa Malaika kama unataka matajiri waishi kama mashetani.
Tusiwape nafasChadema hii nchi wataigawa vipande vipande time will tell.
Wewe upo juu sisi tupo juu katikati na chini.Sera zilikuwa mbovu, aidha Magufuli kataifisha kwa sera mbovu kabisa kabisa. Lipo shirika moja amelichukua kimabavu ila ni mwaka sasa kalitelekeza. Nyie hamuwezi kuelewa kwa undani ila sisi tuliopo huku juu tunajua ushenzi mwingi sana aliofanya Magufuli.
Kama hujuw lud darasan kwanzaMkapa alikuwa CCM au Chadema??? Sera za Mkapa ndo za Chadema kwani???
Mbona CCM mnakuwa vilaza hivyo???? Embu niambie ni biashara gani ya Serikali inayojiendesha kwa faida na ufanisi???!
Muulize ambaye nimemuuliza mimi anayesema CDM haiwezi kuwa na sera nzuri.Mkapa alikuwa CCM au Chadema??? Sera za Mkapa ndo za Chadema kwani???
Mbona CCM mnakuwa vilaza hivyo???? Embu niambie ni biashara gani ya Serikali inayojiendesha kwa faida na ufanisi???!