Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Ukiwa na sera nzuri mashirika yataendeshwa kwa ufanisi mkubwa sana! Na hapo kwenye sera ndipo serikali ya CCM imefeli vibaya
chadema inashindwa hata kuendesha Ofisi yake halafu unaongelea kuendesha nchi? Mbowe ni lini mara ya mwisho alifika Ofisini Mtaa wa Ufipa na kufanya kazi? Ukienda sasa hvi utakuata Ofisi yake na secretary kila kitu kikifanya kazi au ana ofisi nyigine binfasi mjini?