Uchaguzi 2020 Salumu Mwalimu: Biashara zote za Serikali kubinafsishwa

Uchaguzi 2020 Salumu Mwalimu: Biashara zote za Serikali kubinafsishwa

Wewe upo juu sisi tupo juu katikati na chini.
Hivi TTCL ilikuwa hoi kwa sababu gani na imerudi kuwa hai kwa sababu gani?
CCM kuna mijitu mijinga sana, think hivi kama huyu Jingalao ndiyo Magu na BabaroSA ndiyo ndugai. these guys have never heard even of NASDAQ or Nikkei or HKExchange or JohburgExchange! Halafu unafikiri TTCL will make money? Raise Capital then employ the best world managers. Retards
 
Hiyo TTCL bado iko hoi taaban. Kinachosemwa sicho unachokijua kwa undani. Na uongo ndiyo imekuwa nguzo muhimu kwa awamu hii. Subiri nitaweka humu jamvini taarifa muhimu kuanzia wiki ijayo ndipo utagundua kuwa una serikali ya aina gani
Nilichogundua kwenye hii thread ni gap iliyopo kati ya watawala na watu kama Lisu the wise learned people.
Young fellows in Tanzania your lives are in wrong hands, learn from Lisu, he is your inspirer. Honest, charismatic chap who can show you the way, it is your time, such chances are rare, only once in your lifetime
 
Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRC, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
Yaani huko Uingereza na Marekani ziko taasisi nyingi zinamilikiwa na umma Kama BBC, mashirika ya reli na kadhalika ...vituo vingi vya televisheni vina ilikiwa na jeshi, taasisi za kijasusi na serikali...Sasa Hawa chadema sijui wana matatizo gani...hawajui kabisa dunia inavyokwenda...hopeless kabisa...private sector imeonesha mapungufu makubwa duniani kote...chadema hawawezi kukabidhiwa nchi...hopeless kabisa...
 
CCM kuna mijitu mijinga sana, think hivi kama huyu Jingalao ndiyo Magu na BabaroSA ndiyo ndugai. these guys have never heard even of NASDAQ or Nikkei or HKExchange or JohburgExchange! Halafu unafikiri TTCL will make money? Raise Capital then employ the best world managers. Retards
Taratibu mkuu tutaelewana....NASDAQ or Nikkei inamfaidisha vipi mwananchi wa chini.
Hiyo ndio hoja ....
Kumbuka Katiba yetu inaitaja Tanzania kama nchi ya kijamaa.
 
Nilichogundua kwenye hii thread ni gap iliyopo kati ya watawala na watu kama Lisu the wise learned people.
Young fellows in Tanzania your lives are in wrong hands, learn from Lisu, he is your inspirer. Honest, charismatic chap who can show you the way, it is your time, such chances are rare, only once in your lifetime
The gap is on some Politicians who copy and paste everything from west.The Grown ups are suppose to digest,inteprate,define and impliment issues in a local context.
 
Yaani huko Uingereza na Marekani ziko taasisi nyini zinamilikiwa na umma Kama BBC, mashirika ya reli na kadhalika ...vituo vingi vya televisheni vina ilikiwa na jeshi, taasisi za kijasusi na serikali...Sasa Hawa chadema sijui wana matatizo gani...hawajui kabisa dunia inavyokwenda...hopeless kabisa...private sector imeonesha mapungufu makubwa duniani kote...chadema hawawezi kukabidhiwa nchi...hopeless kabisa...
We kilaza wa Lumumba unajua uwanja wa ndege wa Heathrow ni private owned???

Unajua uendeshaji wa mashirika gani mengi ya Ulaya na marekani ambayo yanaendeshwa na serikali??? Yataje???
 
T
Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRC, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
unaelewa maana ya kufanya biashara na kutoa huduma?
 
Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRC, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
Nadhani si ubinafsishaji Kama alio ufanya RIP wa kuua viwanda vyote kwa kuuziana wao kwa wao , Sijui atamjibu nini huko Nyerere.
 
Yaani huko Uingereza na Marekani ziko taasisi nyini zinamilikiwa na umma Kama BBC, mashirika ya reli na kadhalika ...vituo vingi vya televisheni vina ilikiwa na jeshi, taasisi za kijasusi na serikali...Sasa Hawa chadema sijui wana matatizo gani...hawajui kabisa dunia inavyokwenda...hopeless kabisa...private sector imeonesha mapungufu makubwa duniani kote...chadema hawawezi kukabidhiwa nchi...hopeless kabisa...
Hivi wewe hiyo 1954 ni mwaka uliozaliwa? Probably.
BBC siyo chombo cha serikali. No non profit organization ambalo lipo financed na British Governmen. it is independent haliingiliwi. Ndiyo lilianzishwa na serikali.
 
Taratibu mkuu tutaelewana....NASDAQ or Nikkei inamfaidisha vipi mwananchi wa chini.
Hiyo ndio hoja ....
Kumbuka Katiba yetu inaitaja Tanzania kama nchi ya kijamaa.
Haaaa, kwanza hapo kwenye katiba ndiyo umeniua kabisa. Katiba ipi hiyo inakataza usi raise Capital kutoka world markets? Halafu unauliza ati, mtanzania atafaidikaje? Yes, owners wa company ni waTanzania, shareholders Kwa mfano Alibaba au Tencent, Soft Bank of Japan is the biggest shareholder of Alibaba. Mchina Mr. Ma anayo only 8 percent na wengine ni individuals na institution investors worldwide. China inafaidika kwa kodi Kwa sababu volume of trade is very big. Vile vile individual and institutional investors wa China nao wanafaidika kwenye dividends.

Tencent hivyo hivyo the biggest investor ni Naspers ya South Africa. 32%; you can see how these companies grew from zero to world Giants.
Tanzania same, kampuni kama TTCL can do the same, allow Tanzanian to buy shares and get capital from world markets, employ the best world manager, pay them well. Damp politics
 
The gap is on some Politicians who copy and paste everything from west.The Grown ups are suppose to digest,inteprate,define and impliment issues in a local context.
I wonder is you are commenting from your political orientation. What I have learned also a few MBAs in Tanzania can comment the way you comment. Take the way the UVCCM chairman he is MBA , I heard, but that maybe Dar University MBA orientatio.

I am talking about Harvard or Oxford these are best and common
 
Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi.
Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.

My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Wewe no jinga kama linavyosadifu jina lako. Anamaanisha serikali haitakiwi kufanya biashara full stop. Huwezi kutumia wakala wa majenzi kujenga nyumba za serikali badala ya sekta binafsi, huwezi kutumia SUMA JKT kulinda ofisi badala ya sekta binafsi. Taahira lenu kwa kufanya hivyo linaua uchumi bila kujua! Sisi CHADEMA tukishika dola kazi zote hizo zitafanywa na sekta binafsi ili kuchochea uchumi na kuongeza ajira ambako serikali itapata kodi, pumbavu wewe!
 
Hivi wewe hiyo 1954 ni mwaka uliozaliwa? Probably.
BBC siyo chombo cha serikali. No non profit organization ambalo lipo financed na British Governmen. it is independent haliingiliwi. Ndiyo lilianzishwa na serikali.
You have a very big problem...umejawa na chuki ambazo zimegubika hata uwezo wako wa kufikiri...ni wapi nimesema BBC ni Mali ya serikali...nimetaja umma...which means BBC is a public thing...in fact BBC is a public service broadcasting (PSB)...serikali ina mkono wake kwa maana ya funds na kadhalika ingawa BBC is recognized in principle as an independent.body....TBC ya kwetu ilipaswa iwe hivyo but there are lot of problems kuifanyaTBC iwe an independent body and to operate under PSB system...ulaya kuna nchi nyingi zenye PSB system...private owned media hazikidhi matarajio ya society vinginevyo zitakuwa zikipiga muziki na matangazo tu 24 hrs kwani zimelenga kwenye profit zaidi...I am writing this as a professional tofauti na wewe uliyegubikwa na blah blah zenye mwelekeo wa kisiasa na hasa uachadema...
 
Taratibu mkuu tutaelewana....NASDAQ or Nikkei inamfaidisha vipi mwananchi wa chini.
Hiyo ndio hoja ....
Kumbuka Katiba yetu inaitaja Tanzania kama nchi ya kijamaa.
Ujamaa umekusaidia nini zaidi ya kukufanya kuwa masikini wa kutupwa kilaza wewe
 
We kilaza wa Lumumba unajua uwanja wa ndege wa Heathrow ni private owned???

Unajua uendeshaji wa mashirika gani mengi ya Ulaya na marekani ambayo yanaendeshwa na serikali??? Yataje???
Siwezi kufanya debate na wewe kwani hata debate zako Zina. Sera za uanaharakati..
 
Back
Top Bottom