Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 976
Chadema wamefanikiwa sana kwa hilo. Hata JF imenoga.Ukiwa na sera nzuri mashirika yataendeshwa kwa ufanisi mkubwa sana! Na hapo kwenye sera ndipo serikali ya CCM imefeli vibaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wamefanikiwa sana kwa hilo. Hata JF imenoga.Ukiwa na sera nzuri mashirika yataendeshwa kwa ufanisi mkubwa sana! Na hapo kwenye sera ndipo serikali ya CCM imefeli vibaya
Ahahahahahahahh!Mbona unakimbia swali we mtu??? Nimekwambia niambie biashara inayofanywa na serikali inayojiendesha kwa faida???
Kama huna majibu sema tu Lord denning the Master sina majibu au kama haya maji ni kina kirefu sema tu!! Kuleta tantalila wala haikusaidii hasa watu wanazidi tu kukuona kuwa huna majibu na unajibaraguza tu😂
Wewe kweli ni zuzu lao ,hivi unajua maana ya liberal economy ambayo inaendeshwa na nchi zote zilizoendelea duniani?freedom of market?Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi. Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.
My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Anza kuisoma katiba kwanza.Ielewe Tanzania kwanza na kujua misingi ya kikatiba ambayo ndio dira ya namna ipi ya uchumi Tanzania inatakiwa kuifanya.Tusiwe kama kasuku kwa kuiga kila alisemalo mwingine bali yafaa sisi tuseme ili wengine waige.Wewe kweli ni zuzu lao ,hivi unajua maana ya liberal economy ambayo inaendeshwa na nchi zote zilizoendelea duniani?freedom of market?
Shirika la Taifa la Reli huko ubelgiji linamilikiwa na nani?Hivi wewe hiyo 1954 ni mwaka uliozaliwa? Probably.
BBC siyo chombo cha serikali. No non profit organization ambalo lipo financed na British Governmen. it is independent haliingiliwi. Ndiyo lilianzishwa na serikali.
JingaYaani Serikali itunge sera tu....halafu sekta binafsi ijinafasi....are you really serious on this??Au nyie ndio mlishauri?
Kwani katiba imeshuka kutoka kwa Mungu?acha basi kuji expose uzuzu wako,Kama dira inasema hivyo mbona Kila Rais wa CCM anapoingia madarakani anakua na political ideology yake?liberalization (Mwinyi), privatisation (mkapa),liberalization(kikwete),socialism (Magufuli) au tukakuingize darasaniAnza kuisoma katiba kwanza.Ielewe Tanzania kwanza na kujua misingi ya kikatiba ambayo ndio dira ya namna ipi ya uchumi Tanzania inatakiwa kuifanya.Tusiwe kama kasuku kwa kuiga kila alisemalo mwingine bali yafaa sisi tuseme ili wengine waige.
Wewe unaonekana maisha yako ni duni unahitaji mkombozi.1. MAGUFULI ALISEMA ANATAKA MATAJIRI WAISHI KAMA MASHETANI.
2MAGUFULI ALISEMA AKIWA RAIS WA TANZANIA WATANZANIA TUTALIMIA MENO.
Utakuwaje kiongozi wa Malaika kama unataka matajiri waishi kama mashetani.
mmoja wa viongozi wa malaika alisema " tajiri kuuona ufalme wa Mungu ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano " . Mtolee hukumu na huyo.1. MAGUFULI ALISEMA ANATAKA MATAJIRI WAISHI KAMA MASHETANI.
2MAGUFULI ALISEMA AKIWA RAIS WA TANZANIA WATANZANIA TUTALIMIA MENO.
Utakuwaje kiongozi wa Malaika kama unataka matajiri waishi kama mashetani.
Msaidie kilaza mwenzako kujibu swali naona umeingia mzima mzimaHATUTAKI KUUZWA KAMA MNAVYOTAKA
Jinga is always Jinga,Shirika la Taifa la Reli huko ubelgiji linamilikiwa na nani?
labda tuanzie hapo
Sasa rudi kwenye kauli ya Mwalimu halafu ndio ueelewe mjadala vyema.Jinga is always Jinga,
Private sector as any business is driven by three bottom lines. One of them is profits. Very important. Private company au public ipo lazima wa maximize profits for shareholders. Kuna exceptional ya miradi ambayo private sector wanasita ku- invest kwa sababu ya “economic of scale”, na investment return period. Lakini kuna huduma ambazo ni muhimu, hapo serikali ndipo inabidi iingilie. No way out. Kujenga hospitali kijiji cha iFakara au Moshi mjini, wapi utajenga kupata faida? Obviousl Moshi. Kama wewe ni profit oriented. Moshi walipaji wapo. Kijiji cha Ifakara nako hospitali lazima iwep, hapo serikali ndipo inapoingia.
Aanzie kubinafsisha chama chao.Unaikumbuka PSRC chini ya Mkapa ilifanya nini? Je unawajua NET SOLUTION sijui unaijua Simu 2000. TRL Tanzania hakuna kitu kama hicho.
kila unapoandika. unafanana sana na zile hotuba za yule UVCCM chairman Kheri, sasa hapo Katiba na Market forces kuna uhusiano gani? Yaani umwajiri Manager halafu kwanza asome katiba?Anza kuisoma katiba kwanza.Ielewe Tanzania kwanza na kujua misingi ya kikatiba ambayo ndio dira ya namna ipi ya uchumi Tanzania inatakiwa kuifanya.Tusiwe kama kasuku kwa kuiga kila alisemalo mwingine bali yafaa sisi tuseme ili wengine waige.
His is right, serikali itajikita kwenye sera na huduma. Huduma ni pamoja na almost to no profit Organizations. Full stopSasa rudi kwenye kauli ya Mwalimu halafu ndio ueelewe mjadala vyema.
Maarifa ni Mali. Si kila mtu anayo@jingalao.Yaani Serikali itunge sera tu....halafu sekta binafsi ijinafasi....are you really serious on this??Au nyie ndio mlishauri?
Wataigawa vipi wakati hata uwezo wa kushinda hawana!Chadema hii nchi wataigawa vipande vipande time will tell.
Wanajitoa ufahamu tu haoUnajua maana ya alichosema yaani "Sera"
Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi. Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.
My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Kama hamjaelewa ulizeni mtaeleweshwa.. Upotoshaji hautawafikisha popoteHatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRC, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!