Waminepo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2019
- 374
- 254
Utaelewa tarehe 28 Oct 2020Tetete hata aibu huna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaelewa tarehe 28 Oct 2020Tetete hata aibu huna
Hapo ndio mashirika yote nyeti yataangukia mikononi mwa mabeberu, na kutuendesha yanavyotaka!
Tutapiga magoti, watatuendesha, na watapata kila wanachokitaka, maana wao ndio watakuwa wameshikilia mpini!.
Wanaowashangilia hawa wanasiasa nakuwaona ndio wakombozi wao, binafsi huwa nawaona, somewhere kumkichwa hakuko vizuri!.
Mimi nilishaeleza humu, na kutaadharisha kuwa huyu Lissu anaweza kuwa anatarajia kutuuza watanzania kwa mafungu kwa hao wanyonyaji na kupe watembeao!! Bahati mbaya sana Lisuu kamnywesha ujinga hata Kijana mdogo wa Kitanzania Salum Mwalimu. Lissu anavuruga mustakabali wa vijana nchi katika muktadha huu. Salum Mwalimu asamehewe, maana anayonafasi ya kujirekebisha, na anaonekana ni muungwana kwa kumtazama!Yaani nimeogopa Sana kumbe wanataka kutugawa na kutuuza Kama mbuzi aisee tusikubali nchi yetu kuuzwa
Atcl na Ttcl mpaka wanatoa gawio serikaliniMkapa alikuwa CCM au Chadema??? Sera za Mkapa ndo za Chadema kwani???
Mbona CCM mnakuwa vilaza hivyo???? Embu niambie ni biashara gani ya Serikali inayojiendesha kwa faida na ufanisi???!
Sasa huoni CCM wamejirekebisha baada ya ubinafsishaji holela, hata Mkapa alikiri idea ilikua nzuri ila bahati mbaya haikusaidia wazawa kama alivyotarajiaMkapa alikuwa CCM au Chadema??? Sera za Mkapa ndo za Chadema kwani???
Mbona CCM mnakuwa vilaza hivyo???? Embu niambie ni biashara gani ya Serikali inayojiendesha kwa faida na ufanisi???!
Sidhani TTCL iko vzr hapana bado utendaji wake hauna toka Pamoja promo nyingi lkn bado .sera ya ubinafsishaji siyo mbaya mfano mzuri ni tbl,sigara nk lkn wakati serikali inaziendesha hali ya kifedha ilikuwa hoi.Wewe upo juu sisi tupo juu katikati na chini.
Hivi TTCL ilikuwa hoi kwa sababu gani na imerudi kuwa hai kwa sababu gani?
Yaani Serikali itunge sera tu....halafu sekta binafsi ijinafasi....are you really serious on this??Au nyie ndio mlishauri?Ujinga ni mzigo mkubwa. Kama mleta uzi anaamini katika alichokiandika ni mjinga pia. Nimemsikia mjinga mwingine, John Magufuli, akitumia ujinga kufafanua kuhusu Sera ya majimbo. Eti dhana ya muundo wa majimbo wa utawala wa nchi ni kuligawa taifa. Haelewi kuwa nchi hii tayari imegawanywa katika mafungu ta utawala - mikoa, wilaya, kata, vijiji, mitaa na vitongoji na bado taifa 'halijagawanyika' Kwa namna anavyo-contextualize kugawanyika.
Hatutaki nchi iongozwe na mediocre na sycophants wao bila wananchi kujiamulia vipaumbele vyao vya maendeleo. Watanzania wanaweza kuamua kuwa mikoa ndio iwe majimbo ya utawala. Ikiwa hivyo, kila mkoa utaongozwa na Havana waliyechaguliwa na wananchi wenyewe. Utakuwa na Bunge lake. Utakuwa na Serikali za mitaa zake, Utakuwa na Mahakama zake. Utakuwa na vyanzo vya mapato yake, Na Serikali Kuu itakuwa ikiwajibika kukusanya Kodi kutoka vyanzo vyaka na kisha kugawa mapato hayo Kwa kila Jimbo kama itakavyokuwa imetekelezwa kwenye Katiba ya nchi. Serikali kuu itabaki na majukumu machache ya kuratibu Sera za utawala wa nchi, siyo petty issues. Sasa ukiona mjinga mmoja akizungumza kuwa muundo wautawala wa kutuibia madini
Sasa ulisikia mjinga mwingine akisema kuwa ubinafsishaji-wizi wa PSRC/Mkapa ndio ubinafsishaji anaousema Mwalimu unasikitika sana. Ubinafsishaji hutumii njia moja tu ya Serikali kuuza (outright sell) mashirika ya umma. Kuna mikakati na njia mbadala nyingi iwapo wataalam watapewa fursa kusaidia design ya njia bora ya kutekeleza Sera husika.
Mkapa hakubinafsisha vyote.Mkapa alikuwa CCM au Chadema??? Sera za Mkapa ndo za Chadema kwani???
Mbona CCM mnakuwa vilaza hivyo???? Embu niambie ni biashara gani ya Serikali inayojiendesha kwa faida na ufanisi???!
Umeelewa swali langu??? Acha tantalila jibu swaliMkapa hakubinafsisha vyote.
Unazungumzia faida gani? Direct Profit or Indirect Profit? Kwa kukusaidia, Serikali yoyote makini anajikita zaidi kwenye Indirect Profit. Anyway, sijui kama unajua maana yake lakini.Umeelewa swali langu??? Acha tantalila jibu swali
Nimekusaidia unipe majibu General!! Be it direct or indirect, niambie, biashara gani ya serikali inayojiendesha kwa faida??Unazungumzia faida gani? Direct Profit or Indirect Profit? Kwa kukusaidia, Serikali yoyote makini anajikita zaidi kwenye Indirect Profit. Anyway, sijui kama unajua maana yake lakini.
Ahahahahaha!Nimekusaidia unipe majibu General!! Be it direct or indirect, niambie, biashara gani ya serikali inayojiendesha kwa faida??
Unajiona ulivyo mjinga??? Tukisema CCM vilaza mnakataa!! Hata majibu hamna mkiulizwaAhahahahaha!
Ahahahahahahaha! Kama hujui maana ya Direct Profit na Indirect Profit in developmental context, ulitaka nikujibu au nikufundishe?Unajiona ulivyo mjinga??? Tukisema CCM vilaza mnakataa!! Hata majibu hamna mkiulizwa
Mbona unakimbia swali we mtu??? Nimekwambia niambie biashara inayofanywa na serikali inayojiendesha kwa faida???Ahahahahahahaha! Kama hujui maana ya Direct Profit na Indirect Profit in developmental context, ulitaka nikujibu au nikufundishe?
Mbona unakimbia swali we mtu???
N
n
b
inayofanywa na serikali inayojiendesha kwa faida???
Kama huna majibu sema tu Lord denning the Master sina majibu au kama haya maji ni kina kirefu sema tu!! Kuleta tantalila wala haikusaidii hasa watu wanazidi tu kukuona kuwa huna majibu na unajibaraguza tu😂
We unatakaje?Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRC, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
huyo mwalimu amekua ni mgombea mweza ili kutimiza matakwa ya katibu,hakuna kitu hapoNadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni