Uchaguzi 2020 Salumu Mwalimu: Biashara zote za Serikali kubinafsishwa

Uchaguzi 2020 Salumu Mwalimu: Biashara zote za Serikali kubinafsishwa

Hizi ndo unaita akili kweli? Shirika la Umeme siyo business oriented, ni service oriented. Kwa nini hukumpigia hata simu Mh. Mwalimu akakufafanulia alichosema kuliko kujidhalilisha hivi?
Kuna vitu vinaitwa "goods" na " services". Vyote viwili vinaweza kutumika katika kusababisha miamala( monetary transaction) ya faida ama hasara mara chache ( profit/loss). Ni kwa utaratibu huu biashara (businesses) ufanyika. TTCL wanauza services (huduma, mfano, bado, muda wa maongezi nakadhalika). Mangi anauza goods( mfano, spea za magari, sabuni, nakadhalika).

Baada ya kukupatia darasa hilo, objectively, sote tujitafakari kama kati yangu na wewe Mkuu tunakijua kweli kitu kinachoitwa akili?!

Karibu.
 
Ndio nchi sasa yaani nchi nyingi duniani zipo na uendeshaji wa aina hiyo ni mipango na mikakati madhubuti,wala sio jambo jipya tatizo mumedumazwa na siasa za maji tope za CCM,CCM hawana jipya wapo kulekule kwenye reli na ndege wakati dunia inahamia kwenye hyperloop.
 
Ukiwa na sera nzuri mashirika yataendeshwa kwa ufanisi mkubwa sana! Na hapo kwenye sera ndipo serikali ya CCM imefeli vibaya
Hao watu binafsi watalipa kodi na wao watachukua faida wataenda kula na familia zao na biashara hizo zikiwa chini ya serikali kodi italipwa serikalini na faida itaingia serikalini kumuhudumia mwananchi. Kipi bora?





MAGUFULI4LIFE.
 
Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi.
Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.

My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Mate yanawatoka wakiio a miradi ya JPM wanatafuta namna ya kuila.



MAGUFULI4LIFE.
 
Net solutions ilikuwa kampuni iliyoletwa na CCM . Chadema hawatafanya huo ujinga. Wao wataleta kampuni competent zenye uwezo na nitajitahidi uhakika
hebu niondolee huo upumbavu, hawahawa wajinga chadema ndio wafanye tofauti? hivi kichwani uko sawa kweli? hayo wanaotaka kuleta yalifanikiwa wapi? au mnataka kutufanya specimen za form six?
 
Yaani huko Uingereza na Marekani ziko taasisi nyingi zinamilikiwa na umma Kama BBC, mashirika ya reli na kadhalika ...vituo vingi vya televisheni vina ilikiwa na jeshi, taasisi za kijasusi na serikali...Sasa Hawa chadema sijui wana matatizo gani...hawajui kabisa dunia inavyokwenda...hopeless kabisa...private sector imeonesha mapungufu makubwa duniani kote...chadema hawawezi kukabidhiwa nchi...hopeless kabisa...
wapumbavu tu
 
Chadema hii nchi wataigawa vipande vipande time will tell.
[/QUOTE
Wewe Haujui Nyerere alitaifisha Mali za watu nchi ikamshinda
Serikali inatakiwa ichhukue kodi tu
Biashara iachie wafanya biashara
Je wajua kua kampuni ya ndege inafanya biashara ya hasara kubwa?
Ahh waislamu wenzangu tunatia aibu sijui ni kwa sababu ya elimu duni darasa la 7 au tumerogwa?
 
Sera zilikuwa mbovu, aidha Magufuli kataifisha kwa sera mbovu kabisa kabisa. Lipo shirika moja amelichukua kimabavu ila ni mwaka sasa kalitelekeza. Nyie hamuwezi kuelewa kwa undani ila sisi tuliopo huku juu tunajua ushenzi mwingi sana aliofanya Magufuli.
Useme basi tujue na wewe upo huko juu ili tujue na sisi

Nina walakini na huko juu unakokusema kama sio mshenzi fulani unapigwa na jua pale simu 2000
 
Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRC, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
Hata mbeleko moja ya mbeleko yenu tsiaraei yafaa kubinafsishwa ili kuipa ufanisi na ushindani.
 
Hatuwezi kufanya majaribio kwa nchi nzima. Watanzania ni waelewa sana!
====
Kwamba Tanesco itabinafsishwa, TTCL, ATCL, TRC, nakadhalika....! Vyote watapewa " wakwepuaji" wa chama cha Mbowe,Chadema! Maajabu hayeshi!
Hawa jamaa ni wa kupima akili ! Hayati mkapa alijaribu ubinafsishaji matokeo yake tuliyaona ! Net group solution na Tanesco, Reliance na TRC...Major and strategic infrastructures and strategic businesses must remain in the hands of government! Washindwe !!!
 
Sera zilikuwa mbovu, aidha Magufuli kataifisha kwa sera mbovu kabisa kabisa. Lipo shirika moja amelichukua kimabavu ila ni mwaka sasa kalitelekeza. Nyie hamuwezi kuelewa kwa undani ila sisi tuliopo huku juu tunajua ushenzi mwingi sana aliofanya Magufuli.
Baki na maushenzi yako huko huko juu ! Sisi wa chini tunamuelewa Magufuli na tunayaona anayofanya.
 
You have a very big problem...umejawa na chuki ambazo zimegubika hata uwezo wako wa kufikiri...ni wapi nimesema BBC ni Mali ya serikali...nimetaja umma...which means BBC is a public thing...in fact BBC is a public service broadcasting (PSB)...serikali ina mkono wake kwa maana ya funds na kadhalika ingawa BBC is recognized in principle as an independent.body....TBC ya kwetu ilipaswa iwe hivyo but there are lot of problems kuifanyaTBC iwe an independent body and to operate under PSB system...ulaya kuna nchi nyingi zenye PSB system...private owned media hazikidhi matarajio ya society vinginevyo zitakuwa zikipiga muziki na matangazo tu 24 hrs kwani zimelenga kwenye profit zaidi...I am writing this as a professional tofauti na wewe uliyegubikwa na blah blah zenye mwelekeo wa kisiasa na hasa uachadema...
Soma ulichoandika: “...Sasa Hawa chadema sijui wana matatizo gani...hawajui kabisa dunia inavyokwenda...hopeless kabisa...private sector imeonesha mapungufu makubwa duniani kote...chadema hawawezi kukabidhiwa nchi...hopeless kabisa.”
private sector ya wapi hiyo unayosema?
in China 98% ya companies profitable ni private sector
America private and public ipo
India and South East Asia na Europe yote majority business is done by private sector
 
Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi amemnukuu Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais Chadema akieleza sera ya Chama chao kuwa ni kubinafsisha biashara zote ili ziendeshwe na sekta binafsi. Amesema Serikali itabaki na jukumu la kutunga Sera tu.

My Take:
Nadhani upo umuhimu wa wataalamu kuwasaidia vyama vya siasa na wagombea mambo muhimu na yaliyotafitiwa ya kuyaongelea kwenye kampeni.
Hili genge la CDM sio salama sana wao wanachowaza n kujikomba kwa wenye fedha tu hakuna kingne apo
 
Sera zilikuwa mbovu, aidha Magufuli kataifisha kwa sera mbovu kabisa kabisa. Lipo shirika moja amelichukua kimabavu ila ni mwaka sasa kalitelekeza. Nyie hamuwezi kuelewa kwa undani ila sisi tuliopo huku juu tunajua ushenzi mwingi sana aliofanya Magufuli.
Upo juu wapi angani..acha porojo toa hoja
 
Back
Top Bottom