Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,936
- 1,972
Damn!
If a man did that to a woman it would be......Rape
Men suffer in silence........Pain
Huu ni upumbavu uliotukuka na kukosa nidhamu,.kweli ugumu wako wa maisha ndio uwanyie watu wengine ushenzi,.???,.mfyuuuuuuu zao[emoji57][emoji57][emoji57]Sinza wanaku massage kwanza halafu unakula mzigo......
Hali ngumu ya kiuchumi ndo maana wanaamua kufanya extra miles ili kujikwamua
Mmakonde ni chinga tu. Ndo maana ukurutu umewajaa mpk kwenye viganjaUnanyoa kichwa na ndevu unalipa sh 8000? hiyo salon w
ina vinyozi malaika? duuh wakati 1500 tu una nyoa na unatoka smart kabisa hakuna michubuko wala nini.
Alikua anataka huyu asitufanye sisi kumbi kumbi.Ungempiga vibao..atakufanyiaje massage wakati we hutaki??
kula tano!Ulivyokubali kuvuliwa shati ulitegemea nn?..tatizo naona imekuwa hiyo bill uliyopewa mwanaume kama hutaki kufanyiwa kitu usiendelee kukaa hapo unashikwashikwa halaf unakuja kulalamika humu
Ulivyokubali kuvuliwa shati ulitegemea nn?..tatizo naona imekuwa hiyo bill uliyopewa mwanaume kama hutaki kufanyiwa kitu usiendelee kukaa hapo unashikwashikwa halaf unakuja kulalamika humu
Yaani kwa akili yako unaona kunyoa kwa Tsh.8000/= ni ujanja!?? Halafu ukute watu km nyinyi hata kubeba ndizi tu za Tsh.2500/= kumpelekea mkeo na watoto hujawahi,lkn unajidai una hela za kunyoa kwa Tsh.8000/=. Me nanyoa kwa Tsh.1500/= kichwa na ndevu na watu hawajawahi kunishangaa barabarani..! Na sijawahi kutoka upele hata siku moja...! Wajinga ndiyo waliwao....Mmakonde ni chinga tu. Ndo maana ukurutu umewajaa mpk kwenye viganja