Saluni za kunyoa Sinza, hii sio namna ya kufanya biashara

Saluni za kunyoa Sinza, hii sio namna ya kufanya biashara

ulivyovuliwa shati nikajua tayari
kikubwa endelea kuinsist ukirudi tena ikiwezekana kabla haujanyoa waambie kabisa sitaki massage
 
Sinza wanaku massage kwanza halafu unakula mzigo......
Hali ngumu ya kiuchumi ndo maana wanaamua kufanya extra miles ili kujikwamua
 
Tabia mbaya sana na ipo sana Sinza. Mimi nikikutana na mazingira ya namna hiyo huwa nahama kabisa hiyo saloon. Mtu ukitoka nyumbani unakuwa umejipanga kabisa unaenda kufanya nini, sasa mambo ya kulazimishana yanatoka wapi?
 
Sinza wanaku massage kwanza halafu unakula mzigo......
Hali ngumu ya kiuchumi ndo maana wanaamua kufanya extra miles ili kujikwamua
Huu ni upumbavu uliotukuka na kukosa nidhamu,.kweli ugumu wako wa maisha ndio uwanyie watu wengine ushenzi,.???,.mfyuuuuuuu zao[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Pole sana...

Siku nyingine upuka kuingia Soloon zenye vyumba vya ziada...

Habari zao siyo nzuri kabisa kwa wastaarabu, ila kwa madomo zege ndiyo mahali kabisa pa kutolea ugumu...


Cc: mahondaw
 
Hahahaha...nimekumbuka juzi kati shemeji yangu aliendaga salon..kunyoa na kupakwa super black na scrub...mara akaja mdada na kama beseni kusafishwa miguu mara mwngne huyo kasafishwa mikono..bill iliyokuja hapo 55000 na bajeti yake ilikua 20000 alichoka mbona....alivyonihadithiia niliishia kucheka tu
 
Hapo pagumu sana maana wenye salon hawajui yanayotendeka humo kwao ni hesabu tu. Kma mimi nina barbershop maeneo ya temeke mara siku nipo pale nakuta kijana anaingia na mashine za tatoo na kumhora mtu il hali mimi sijui huduma hiyo ipo hapo.
 
Mi nanyoa saloon za mitaani 1000-3000
Mashine nitanunua yangu soon, mambo ya scrub uwanawake
 
Ulivyokubali kuvuliwa shati ulitegemea nn?..tatizo naona imekuwa hiyo bill uliyopewa mwanaume kama hutaki kufanyiwa kitu usiendelee kukaa hapo unashikwashikwa halaf unakuja kulalamika humu
kula tano!
 
Ulivyokubali kuvuliwa shati ulitegemea nn?..tatizo naona imekuwa hiyo bill uliyopewa mwanaume kama hutaki kufanyiwa kitu usiendelee kukaa hapo unashikwashikwa halaf unakuja kulalamika humu

Ujaelewa nilichoandika, ila kwa sababu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo nisikulaumu
 
Mimi hiyo 18000 labda kama na papuchi nimekula
 
Makosayako ni haya....
1. Kwanini ulikubali kuvuliwa shati?
2. Kwanini ulikubali kushikwa shingoni?
3. Kwanini ulikubali kushikwa mgongo?
4. Kwanini ukanyoe kwenye saloon kwa 8000?

Baada ya mimi kujiuliza maswali hayo, nimejiridhisha kwamba ULIYATAKA mwenyewe. Hivyo hauna haja ya kulalamika hapa.
 
Mmakonde ni chinga tu. Ndo maana ukurutu umewajaa mpk kwenye viganja
Yaani kwa akili yako unaona kunyoa kwa Tsh.8000/= ni ujanja!?? Halafu ukute watu km nyinyi hata kubeba ndizi tu za Tsh.2500/= kumpelekea mkeo na watoto hujawahi,lkn unajidai una hela za kunyoa kwa Tsh.8000/=. Me nanyoa kwa Tsh.1500/= kichwa na ndevu na watu hawajawahi kunishangaa barabarani..! Na sijawahi kutoka upele hata siku moja...! Wajinga ndiyo waliwao....
 
Back
Top Bottom