Saluni za kunyoa Sinza, hii sio namna ya kufanya biashara

wenyewe tunapenda.sema nyie wa mikoani mnaona mageni
 
Saloon za Sinza zote zimejaa Malaya wa kike na kiume na zile siyo saloon ila ni madanguro!
 
Unyanyasaji wa jinsia (ya kiume)... Ingekuwa ww ndo ulim-massage huyo mdada mgongoni hadi tumbon bila ridhaa yke, muda huu ungekuwa ndani bila dhamana unasubiria mvua 30 bila huruma!
 
Apo hoja ni 10000 si vinginevyo
 
Hebu nielekeze hiyo saloon nikawaonye wasirudie tena
 
Mkuu mgongo uwa haushikwi sawa?
 
Ila nawe mkuu hukumkazia hasingeedelea na ujinga wake
 
Mmakonde ni chinga tu. Ndo maana ukurutu umewajaa mpk kwenye viganja
We ndo fa.la sana kwa io kunyoa kwa sh 8000 ndo unaona down town? huo ni ufala....mtoto wa kiume unaenda kunyoa unaoshwa mpk kichwa yote ya nini hayo? mkiitwa wanaume wa dar mnamaindi kuna siku mtataka hadi muoshwe ma.vi baada ya kunya kisa usmartπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Umaskini utakuua. Mwanaume mzima utabebaje ndizi za 2500? Afu gari ya wife utaweka mafuta ya shingapi?

Umaskini utakuua, fanya kazi dogo.
 
Umaskini utakuua we dogo. Fanya kazi ufurahie maisha ya dunia. We endekeza kuishi maisha ya kimaskini kwa kisingizio eti wewe sio "mwanaume wa Dar" utapata kansa ya ngozi kwa ujanja wa kishamba.

Fanya kazi upate fedha uishi maisha mazuri. Nyambaf wahed.. ..
 
Huna hoja braza.....kunyoa kwa buku nane sio kigezo cha utajiri wala kunyoa kwa buku sio kigezo cha umaskini......nimegundua kuwa we bado mshamba wa matumizi ya pesa.....ujue impotency bongo inaanzia mbali sana.......I cannot argue with u any more bro coz naweza nikavuka mipaka,iam tripping!!
 
Pole sana na ahsante kwa kuanza kujielewa...

Maana kuendesha Vitz unaweza sema ni sawa na kuendesha BMW kwakuwa yote ni magari...

Lazima tutofautiane....

Fanya kazi kwa bidii ufaidi matunda ya jasho lako na raha za dunia...
 
Shemeji yangu mimi alikimbia alikuwa na 2000 tu bili imefika ngoja nitoe hapo mpesa anasema alivyoka alikimbia huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah,,, hawakukusifiasifia ? Hao mabinti kwa kweli ni tatizo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…