mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
wenyewe tunapenda.sema nyie wa mikoani mnaona mageni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo hoja ni 10000 si vinginevyoHili ni kwa Wamiliki wa Saloon za Wanaume Sinza, vijana na Mabinti wenu wanawaharibia Biashara, Mimi nilikuwa ninaishi Dar na nikaamia Arusha, na ninakuja Dar mara nyingi maana bado nina nyumba na mradi Dar!
Ninaamini ni mteja mzuri wa saloon kwa hiyo nikipenda saloon ijue imepata mteja mzuri and reliable, ila kwa kweli saloon za Dar na Arusha tofauti kubwa sana! Nimeingia Saloon Sinza, nimenyoa safi, baada ya kunyoa naingia kuoshwa, dada anaanza nivua shati.
Nikamwambia huyo Dada, ninaosha tu kichwa, akanambia utachafua shati, nikakubali, kilichofuata nakuta kaanza kufanya massage mgongoni, Nikamwambia, Miss I insist siitaji kufanya kitu zaidi ya kuosha, akanambia maji bado hayajapata joto, so huwezi kaa tu, nikamwambia, I am not asking for this!
Akaendelea kumassage mgongo, I was embarased, baada ya mda anataka kumassage tumboni, nikakataa kabisa, basi akaniosha, wakati natoka, nilikuwa nimenyoa nywele na ndevu so nina bill ya 8000, hili halina shida, but naambiwa nia: 18.000, kwa ajili ya ule usumbufu alionifanyia mgongni...
Nilichukia sana, sio hata sababu ya 10.000, but hii si namna ya kufanya biashara, hata kama twatafuta pesa ni lazima tuweke ustaarabu na kuheshimiana kwenye hizi saloon, nawashauri wamiliki watafute solid representative kwenye saloon zao ili kulinda haya....
Apo hoja ni 10000 si vinginevyo
Mkuu mgongo uwa haushikwi sawa?Makosayako ni haya....
1. Kwanini ulikubali kuvuliwa shati?
2. Kwanini ulikubali kushikwa shingoni?
3. Kwanini ulikubali kushikwa mgongo?
4. Kwanini ukanyoe kwenye saloon kwa 8000?
Baada ya mimi kujiuliza maswali hayo, nimejiridhisha kwamba ULIYATAKA mwenyewe. Hivyo hauna haja ya kulalamika hapa.
Huyu mleta uzi alikubali na akashikwa mgongo, then anakuja kulalamika huku....Mkuu mgongo uwa haushikwi sawa?
We ndo fa.la sana kwa io kunyoa kwa sh 8000 ndo unaona down town? huo ni ufala....mtoto wa kiume unaenda kunyoa unaoshwa mpk kichwa yote ya nini hayo? mkiitwa wanaume wa dar mnamaindi kuna siku mtataka hadi muoshwe ma.vi baada ya kunya kisa usmart😀😀😀Mmakonde ni chinga tu. Ndo maana ukurutu umewajaa mpk kwenye viganja
Umaskini utakuua. Mwanaume mzima utabebaje ndizi za 2500? Afu gari ya wife utaweka mafuta ya shingapi?Yaani kwa akili yako unaona kunyoa kwa Tsh.8000/= ni ujanja!?? Halafu ukute watu km nyinyi hata kubeba ndizi tu za Tsh.2500/= kumpelekea mkeo na watoto hujawahi,lkn unajidai una hela za kunyoa kwa Tsh.8000/=. Me nanyoa kwa Tsh.1500/= kichwa na ndevu na watu hawajawahi kunishangaa barabarani..! Na sijawahi kutoka upele hata siku moja...! Wajinga ndiyo waliwao....
Umaskini utakuua we dogo. Fanya kazi ufurahie maisha ya dunia. We endekeza kuishi maisha ya kimaskini kwa kisingizio eti wewe sio "mwanaume wa Dar" utapata kansa ya ngozi kwa ujanja wa kishamba.We ndo fa.la sana kwa io kunyoa kwa sh 8000 ndo unaona down town? huo ni ufala....mtoto wa kiume unaenda kunyoa unaoshwa mpk kichwa yote ya nini hayo? mkiitwa wanaume wa dar mnamaindi kuna siku mtataka hadi muoshwe ma.vi baada ya kunya kisa usmart😀😀😀
Huna hoja braza.....kunyoa kwa buku nane sio kigezo cha utajiri wala kunyoa kwa buku sio kigezo cha umaskini......nimegundua kuwa we bado mshamba wa matumizi ya pesa.....ujue impotency bongo inaanzia mbali sana.......I cannot argue with u any more bro coz naweza nikavuka mipaka,iam tripping!!Umaskini utakuua we dogo. Fanya kazi ufurahie maisha ya dunia. We endekeza kuishi maisha ya kimaskini kwa kisingizio eti wewe sio "mwanaume wa Dar" utapata kansa ya ngozi kwa ujanja wa kishamba.
Fanya kazi upate fedha uishi maisha mazuri. Nyambaf wahed.. ..
Pole sana na ahsante kwa kuanza kujielewa...Huna hoja braza.....kunyoa kwa buku nane sio kigezo cha utajiri wala kunyoa kwa buku sio kigezo cha umaskini......nimegundua kuwa we bado mshamba wa matumizi ya pesa.....ujue impotency bongo inaanzia mbali sana.......I cannot argue with u any more bro coz naweza nikavuka mipaka,iam tripping!!
Shemeji yangu mimi alikimbia alikuwa na 2000 tu bili imefika ngoja nitoe hapo mpesa anasema alivyoka alikimbia huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha...nimekumbuka juzi kati shemeji yangu aliendaga salon..kunyoa na kupakwa super black na scrub...mara akaja mdada na kama beseni kusafishwa miguu mara mwngne huyo kasafishwa mikono..bill iliyokuja hapo 55000 na bajeti yake ilikua 20000 alichoka mbona....alivyonihadithiia niliishia kucheka tu
Haaaa babu umemuweza 8000 anaona nyingi je mkewe akimuomba ya kusukia 50000 atatoa huyo?Mmakonde ni chinga tu. Ndo maana ukurutu umewajaa mpk kwenye viganja
Lazima atamnyoa nywele zote kwa kisu...Haaaa babu umemuweza 8000 anaona nyingi je mkewe akimuomba ya kusukia 50000 atatoa huyo?