Saluni za kunyoa Sinza, hii sio namna ya kufanya biashara

Mzee baba hyo 18,000/= sema ukweli tu kuwa ni gharama ya mgegedo. We umemgegeda mdada wa watu ukitegemea 8'000 ingekutosha kwa huduma zote hizo af unakuja kulalamika hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nilinyoa kwa 2000 niliumia sana tena sana
 
Arusha hakuna wanawake ndo maana. Wanawake wa Arusha wote ni masela tu. Mambo ya kumhudumia mwanaume hawayajui.
Hii ni kweli nimeish arusha miaka ming na nimeshuhudia hili..wababe mno kwa wanaume hata uvaaji wao wa kisela [emoji23][emoji23]
 
Aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…