Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
[emoji28] [emoji28] kazi sana, usiku mwema myDuuuh!! Alafu mibaba ndio inaliwa vizuri tu na ukizingatia zile huduma adimu nyumbani kwake..akishikwashikwa na wadada anaona dunia yote yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28] [emoji28] kazi sana, usiku mwema myDuuuh!! Alafu mibaba ndio inaliwa vizuri tu na ukizingatia zile huduma adimu nyumbani kwake..akishikwashikwa na wadada anaona dunia yote yake
Na kwako pia love[emoji28] [emoji28] kazi sana, usiku mwema my
Amen kubwa myNa kwako pia love
Kuna watu pumba sanaMzee baba hyo 18,000/= sema ukweli tu kuwa ni gharama ya mgegedo. We umemgegeda mdada wa watu ukitegemea 8'000 ingekutosha kwa huduma zote hizo af unakuja kulalamika hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nilinyoa kwa 2000 niliumia sana tena sanaYaani kwa akili yako unaona kunyoa kwa Tsh.8000/= ni ujanja!?? Halafu ukute watu km nyinyi hata kubeba ndizi tu za Tsh.2500/= kumpelekea mkeo na watoto hujawahi,lkn unajidai una hela za kunyoa kwa Tsh.8000/=. Me nanyoa kwa Tsh.1500/= kichwa na ndevu na watu hawajawahi kunishangaa barabarani..! Na sijawahi kutoka upele hata siku moja...! Wajinga ndiyo waliwao....
[emoji121]Mmakonde ni chinga tu. Ndo maana ukurutu umewajaa mpk kwenye viganja
Arusha hakuna wanawake ndo maana. Wanawake wa Arusha wote ni masela tu. Mambo ya kumhudumia mwanaume hawayajui.Aisee nilikuwa nanyoa pale maeneo ya Sakina Bar kule Arusha hawana mambo ya ajabu kama huku Dar
Hii ni kweli nimeish arusha miaka ming na nimeshuhudia hili..wababe mno kwa wanaume hata uvaaji wao wa kisela [emoji23][emoji23]Arusha hakuna wanawake ndo maana. Wanawake wa Arusha wote ni masela tu. Mambo ya kumhudumia mwanaume hawayajui.
Aisee.Hili ni kwa Wamiliki wa Saloon za Wanaume Sinza, vijana na Mabinti wenu wanawaharibia Biashara, Mimi nilikuwa ninaishi Dar na nikaamia Arusha, na ninakuja Dar mara nyingi maana bado nina nyumba na mradi Dar!
Ninaamini ni mteja mzuri wa saloon kwa hiyo nikipenda saloon ijue imepata mteja mzuri and reliable, ila kwa kweli saloon za Dar na Arusha tofauti kubwa sana! Nimeingia Saloon Sinza, nimenyoa safi, baada ya kunyoa naingia kuoshwa, dada anaanza nivua shati.
Nikamwambia huyo Dada, ninaosha tu kichwa, akanambia utachafua shati, nikakubali, kilichofuata nakuta kaanza kufanya massage mgongoni, Nikamwambia, Miss I insist siitaji kufanya kitu zaidi ya kuosha, akanambia maji bado hayajapata joto, so huwezi kaa tu, nikamwambia, I am not asking for this, tukambana akaachia njiani
Akaendelea kumassage mgongo, I was embarased, baada ya mda anataka kumassage tumboni, nikakataa kabisa, basi akaniosha, wakati natoka, nilikuwa nimenyoa nywele na ndevu so nina bill ya 8000, hili halina shida, but naambiwa nia: 18.000, kwa ajili ya ule usumbufu alionifanyia mgongni...
Nilichukia sana, sio hata sababu ya 10.000, but hii si namna ya kufanya biashara, hata kama twatafuta pesa ni lazima tuweke ustaarabu na kuheshimiana kwenye hizi saloon, nawashauri wamiliki watafute solid representative kwenye saloon zao ili kulinda haya....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa akili za wanawake wa Dar usikute kishawaambia wenzake kuwa wewe ni mse.nge. Ndiyo maana unakuta wakati mwingine mwanaume anahamua kusodomize mwanamke ili aheshimike mtaani.