baadhi yetu tulikuwa na matumaini makubwa juu ya video hii kuleta tikisiko na tetemeko huko youtube ila naona masaa 6 yamepita sasa videi haipi hata kumi bora huko youtube. upande wa simba yule anaembiwa atulize mzuka ili na wengine wapate ahueni mbugani naona simba amekataa ushauri, video tatu...
Kwa muino wangu naona kiba saivi walau anaenda vyema. Haendi kwa presha kama kipindi cha kati hapo. Walau saivi anaimba anaeleweka siyo zile mivumo ya radi ya kipindi kile.
Aendelee kutulia na kutoa ngoma bila presha ya ushindani.
sio video tu, ukija JF sidhani kama utasikia kiba kafanya chochote cha maana. huku kila kitu kiba anaharibu tu....huku anayepatia ni mmoja tu, simba a.k.a dangote. hata hii kamata huku jf ni bonge la wimbo
Shida wa vijana wa skuhiz ili video iwe nzr kwao lazima wawemo ma bint wanacheza na bikini! Kumbuka Alikiba si mtu wa aina izo mzee. Unaamgalia video popote bila ya ku skip. Kama humuelew Alikiba utapata tabu sana