Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Hawa wasanii naona hawapo serious.
Diamond ametoa wombo wake wa dakika 2 haraka haraka ova alikua hajajiandaa wakati alikua kimya kwa zaidi ya miezi 6.
Huyu Alikiba nae Salute atleast audio inasikilizika na ndefu kidogo dakika 4 ila video haileti maana kabisa. Very bad acting. Iko cheap.
Kinachowaweka juu na trending kwenye platform ni fame sio kazi.