Sam Misago embu punguza uroho na ujirekebishe unapokuwa live FNL

Sam Misago embu punguza uroho na ujirekebishe unapokuwa live FNL

Sio on air mnapapasana mnakaliana mpaka mmoja aliyekaliwa naona alidinda mpaka akasogeza mashime pembeni...
unasema watu kushikana viuno wakati shilawadu watu wananyonyana mate live
 
Acha wivu wakijinga Samy yupo powa sana!asimbinye kwan mama Mkwe wake!!kauze mbege huko!
 
Back
Top Bottom