wew kama mziki unaona mzuri ruksa tu kukata mauno haijalishi kaimba nani!Anatuchanganya tunashindwa kujua yupi ni yupi maana hata kuimba anamuigia sauti.
Inde aliyeshirikishwa na Dully Sykes kabla sijaona video nikajua ni diamond
Ukwl upiMuacheni Sam aseme ukweli,mmezidi hamtaki ukweli usemwe.
Yeyote anayesema ukweli kuhusu hao WCB au wenye ukaribu nao anaoneka yupo upande wa Kiba.
Uanze ww kujirekebisha kuandika kwanzaNAKUBALIANA NA MTOA MADA KWA 100%
Nilitaka pia kulizungumzia hilo. Sam Misago huwa anaangali wasanii.
Anawaignore na kuwadiss baadhi ya wasanii kisa hawana majina makubwa, badala awapromote hao na kuwapa shavu wenye majina.
Tatizo lake ni kwamba hajasomea utangazaji kwasababu angekuwa neutral.
Sam Misago jirekebishe.
Asante nifah kupate ke wenye IQ kama yako ni wachacheMuacheni Sam aseme ukweli,mmezidi hamtaki ukweli usemwe.
Yeyote anayesema ukweli kuhusu hao WCB au wenye ukaribu nao anaoneka yupo upande wa Kiba.
Anakuchanganya si uache kumsikiliza? Anakuchanganya au umeamua tu kuchanganyikiwa.Anatuchanganya tunashindwa kujua yupi ni yupi maana hata kuimba anamuigia sauti.
Inde aliyeshirikishwa na Dully Sykes kabla sijaona video nikajua ni diamond
Yaaani hapo ndo wanapo koseaIlo tatizo we ndo umeliona leo?ni good presenters yeye na dullah ila kama hawakukubali utajuta,hawajui kuficha hisia zao,wana ubaguzi,uteam wa kisoro na kusahau wajibu wao.
Kwa alicho Fanya Sam kiungwanaaa na kwa kazi yake haikuwa poaMaswali ya sam ndo yanafanya watu kukipenda na kipindi kimekuw maarufu japo si vema kumwambia mtu ukweli sheta hawez kushinda hiyo tuzo kuna watu wachache ndo mnaoponda hata mtv pia huwa wanapost picha za mshiriki mmoja mmoja na kuandika chochote
Mbona wenu akiambiwa ukweli huwa Mnakimbilia kutukana???? Na haadi unacomment hapa hujakubari ukweli wa Msanii wenuMuacheni Sam aseme ukweli,mmezidi hamtaki ukweli usemwe.
Yeyote anayesema ukweli kuhusu hao WCB au wenye ukaribu nao anaoneka yupo upande wa Kiba.
Kwann wamemuweka kwenye tuzoSasa povu la nn lnakutoka,wakisema wasanii watoke na hao kina shetta na bibi hom nao watatoka km wasanii au km wasibdikizaji
Namshauri atafute style yake kama anavyofanya rayvanAnakuchanganya si uache kumsikiliza? Anakuchanganya au umeamua tu kuchanganyikiwa.