Sam Misago, kwa hili ulilomfanyia Shetta umejishushia hadhi

Sam Misago, kwa hili ulilomfanyia Shetta umejishushia hadhi

Hivi hizo ni tuzo za kuzungumziwa kweli? sam ana stress baada ya single yake ya ballin n chillin kutofikia malengo obviously sababu hajui kuimba...
 
NAKUBALIANA NA MTOA MADA KWA 100%

Nilitaka pia kulizungumzia hilo. Sam Misago huwa anaangali wasanii.

Anawaignore na kuwadiss baadhi ya wasanii kisa hawana majina makubwa, badala awapromote hao na kuwapa shavu wenye majina.

Tatizo lake ni kwamba hajasomea utangazaji kwasababu angekuwa neutral.

Sam Misago jirekebishe.
Uanze ww kujirekebisha kuandika kwanza
 
Mleta mada ushazoea kuangalia kile kipindi cha wale shirika la nini sijui kule mawinguni
 
Muacheni Sam aseme ukweli,mmezidi hamtaki ukweli usemwe.
Yeyote anayesema ukweli kuhusu hao WCB au wenye ukaribu nao anaoneka yupo upande wa Kiba.
Asante nifah kupate ke wenye IQ kama yako ni wachache
 
Anatuchanganya tunashindwa kujua yupi ni yupi maana hata kuimba anamuigia sauti.

Inde aliyeshirikishwa na Dully Sykes kabla sijaona video nikajua ni diamond
Anakuchanganya si uache kumsikiliza? Anakuchanganya au umeamua tu kuchanganyikiwa.
 
Ilo tatizo we ndo umeliona leo?ni good presenters yeye na dullah ila kama hawakukubali utajuta,hawajui kuficha hisia zao,wana ubaguzi,uteam wa kisoro na kusahau wajibu wao.
Yaaani hapo ndo wanapo kosea
 
Maswali ya sam ndo yanafanya watu kukipenda na kipindi kimekuw maarufu japo si vema kumwambia mtu ukweli sheta hawez kushinda hiyo tuzo kuna watu wachache ndo mnaoponda hata mtv pia huwa wanapost picha za mshiriki mmoja mmoja na kuandika chochote
Kwa alicho Fanya Sam kiungwanaaa na kwa kazi yake haikuwa poa
 
Muacheni Sam aseme ukweli,mmezidi hamtaki ukweli usemwe.
Yeyote anayesema ukweli kuhusu hao WCB au wenye ukaribu nao anaoneka yupo upande wa Kiba.
Mbona wenu akiambiwa ukweli huwa Mnakimbilia kutukana???? Na haadi unacomment hapa hujakubari ukweli wa Msanii wenu

SHAME ON YOU!
 
<<<< kuna mtu anauelewa ule wimbo wa sam>>>????huwa anaimbaaa wo wo wooo lo looo lol loooooo
 
sammisago ,adam mchomvu na mpoki kama wewe umenunua redio leo watakukwaza ila kwa sis tunsowajua tunawaelewa ni watu wa makuz sana ni kawaida yao
 
Back
Top Bottom