Sam Misago, kwa hili ulilomfanyia Shetta umejishushia hadhi

Nimekuwa nikifuatilia sana hiki kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa kila Ijumaa ya wiki usiku na Sam Misago. Kumekuwa na interview za wasanii mbalimbali lakini nimegundua hiki kipindi ni jipu kwa wasanii wetu!!!

Anachokifanya Sam ni ujinga wa hali ya juu ambao hauwezi kuvumilika! Kama kuna wadau wengine huwa wanafuatilia hiki kipindi mtakuwa mmegundua na kuona nini kinachoendelea!!

FNL ya juzi kama uliona Shetta alikuwa ana interview kwenye hicho kipindi na Sam lakini Sam alionesha kutomkubali kabisa Shetta kutokana na maswali aliyokuwa anamuulizaa! Swala la EATV Awards, Sam alionekana kumkandia sana Shetta na kuonesha waziwazi kuwa katika vipengele alivyopo Shetta ni kama hawezi kuchukua tuzo kwa sababu fulani yupo! SHAME ON U SAM!

Wewe ndiye unayeamua mshindi au kura ndo zinaamua? Na kama mnajua fulani ndo atakuwa mshindi, ya nini kuweka usiku kwanini msimpe Tuzo aendeee? Kwanini kuna mashindano?

Shetta alipoteza kabisa 'mood' juzi kutokana na Sam. Kwa walioona watakuwa mashahidi wa hayaa. Sijui ni kukosaa taaluma ya utangazaji au la, lakini hii sio maara ya kwanza kwa Sam. Nakumbuka kuna siku Harmonize alikuwa na Interview FNL, Sam alikomaa na Swala la Harmonize kumuiga Diamond hadi Harmonize akapanic maana anajibiwa lakini interview nzima ni kama alimuitia kumuuliza hilo swalii!

Sam na FNL yake sio hayoo tu, yapo mengi lakini kwa hili la juzi ni wakati wa wasanii sasa Kukisusia hiki kipindiii kwa alivyofanyiwa Shetta!!! Na kwa maswali yale, ningemuomba Shetta kiutu uzimaa ajitoe kabisa katika kuwania tuzo hizi za AETV awards!! Maana aliabishwa kuwa hawezi shindana na Mwafulani!!!

Sam kama upo hapa na unasoma haya au jamaa ake yeyote wa karibu amfikishie taarifa nafikiri kungekuwa kuna kupiga simu kipindi cha juzi Sam angekoma!! Utangazaji bila taaluma matokeo yake ndo hayo.

80ebefb3071dc7160357f7d185c8a5d8.jpg

Sam misago boya tu huwa ana maswali ya kejeli sana mm huwa namfatlia kama anamhoji msanii ambaye kdg bdo kwny mzk anakuwa na maswal ya kejeli.........

Mshkaj anajiona sana sema shetta hanagi nyng atapotezea tu nakumbuka kuna ck aliwah kumletea jeuri Linex kdgo zingepingwa ngumi........

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Nimekuwa nikifuatilia sana hiki kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa kila Ijumaa ya wiki usiku na Sam Misago. Kumekuwa na interview za wasanii mbalimbali lakini nimegundua hiki kipindi ni jipu kwa wasanii wetu!!!

Anachokifanya Sam ni ujinga wa hali ya juu ambao hauwezi kuvumilika! Kama kuna wadau wengine huwa wanafuatilia hiki kipindi mtakuwa mmegundua na kuona nini kinachoendelea!!

FNL ya juzi kama uliona Shetta alikuwa ana interview kwenye hicho kipindi na Sam lakini Sam alionesha kutomkubali kabisa Shetta kutokana na maswali aliyokuwa anamuulizaa! Swala la EATV Awards, Sam alionekana kumkandia sana Shetta na kuonesha waziwazi kuwa katika vipengele alivyopo Shetta ni kama hawezi kuchukua tuzo kwa sababu fulani yupo! SHAME ON U SAM!

Wewe ndiye unayeamua mshindi au kura ndo zinaamua? Na kama mnajua fulani ndo atakuwa mshindi, ya nini kuweka usiku kwanini msimpe Tuzo aendeee? Kwanini kuna mashindano?

Shetta alipoteza kabisa 'mood' juzi kutokana na Sam. Kwa walioona watakuwa mashahidi wa hayaa. Sijui ni kukosaa taaluma ya utangazaji au la, lakini hii sio maara ya kwanza kwa Sam. Nakumbuka kuna siku Harmonize alikuwa na Interview FNL, Sam alikomaa na Swala la Harmonize kumuiga Diamond hadi Harmonize akapanic maana anajibiwa lakini interview nzima ni kama alimuitia kumuuliza hilo swalii!

Sam na FNL yake sio hayoo tu, yapo mengi lakini kwa hili la juzi ni wakati wa wasanii sasa Kukisusia hiki kipindiii kwa alivyofanyiwa Shetta!!! Na kwa maswali yale, ningemuomba Shetta kiutu uzimaa ajitoe kabisa katika kuwania tuzo hizi za AETV awards!! Maana aliabishwa kuwa hawezi shindana na Mwafulani!!!

Sam kama upo hapa na unasoma haya au jamaa ake yeyote wa karibu amfikishie taarifa nafikiri kungekuwa kuna kupiga simu kipindi cha juzi Sam angekoma!! Utangazaji bila taaluma matokeo yake ndo hayo.

80ebefb3071dc7160357f7d185c8a5d8.jpg
Mambo kama hayo ndiyo maana mbunge mmoja alithubutu kusema bunge kuwa fani ya utangazani kwenye luninga siyo uandishi wa habari kwani fani hiyo[tv] mtu yoyote yule anaweza.
 
Jux alimfanya Trey songs ndiyo role model wake matokeo yake Trey songs akamtafuna vanesa mdee kirahisi sana.

kuweni makini na hao marole model wenu.

Harmonize anamkubal diamond na kuna vitu baadh anafany vinafanana na vya diamond so co mbaya............

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Wewe huongei ukweli,ila unapotosha kwa kitu unachokijua. Hebu mwenyewe sema,Sam ni mtangazaji wa TV iliyoandaa hizo tuzo hatakiwi kuwahoji wasanii kama vile wao tayari wana mtu wao,maswali yale angekuwa sio wao ndio waandaaji alikuwa sahihi,lakini wao ndio waandaaji hawatakiwi kuwahoji wasanii kwa stahili ya kama tayari wamemuandaa mtu wao.
Mtu wao ni nani?
 
Dogo ana jifanyaga mjuaji sana huyu... Kama kazaliwa mbele F zake.. Ingekua mimi shetta ninge mnyea tu
 
Kumbe tatizo ni Alikiba... Mleta mada ungenyoosha tu maelezo chuki huwa haijifichi
 
Kuna Kitu cha kujua kabla ya Kumjudge mtu yeyote hapa Ulimwenguni. Sam Misago ni mwanadamu kama walivyo wanadamu wengine hapa chini ya Jua. Ana mapungufu yake na Mazuri yake pia na Kamwe hawezi kuvutia kwa asilimia Kubwa. Zaidi ya yote ni kwamba UKWELI unapo-tajwa juu ya mwanadamu awae yeyote, HUCHOMA kama maji ya moto juu ya Ngozi ya KICHANGA ni dhahiri shahir kwamba Sam Misago alimpa za USO huyu bwana mdogo Sheta na ndivyo ilivyo hata huku mtaani kwamba Sheta hana Nguvu yeyote kwenye Game kwa sasa na ndio maana Alikosa raha wakati akifanyiwa Interview sababu alifahamu kwamba Mfalme sasa kapigwa na Yuko teyari Kupelekwa utumwani pamoja na watu wake kwa kipindi cha Miaka 20.
Maelezo mengi afu kilichoandikwa sasa shudu tupu
 
Sasa kwani uongo? Kipengele gani pale shetta angechukua tuzo? Tatizo hatupendi ukweli hiyo ndio shida
 
Best Video.

- Kati Ya Video Zote Zilizoshindanishwa, Aje Video Was Worst Of The Worst
 
Back
Top Bottom