Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu,
Mtangazaji mkongwe wa Clouds Media Group, Sam Sasali ana neno kwa wote wenye tabia ya kulaumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja
==
"Watu wanahukumu jeshi lote la Polisi inapotokea shida lakini shida sio kwa Jeshi ni mtu mmoja mmoja. Ukisema traffic wanakula rushwa sio kweli ila kuna mmoja ambae umekutana nae anafanya hivyo. Ukisema Clouds wote wahuni sio kweli kuna mmoja umekutana nae akakuonyesha uhuni hivyo tusihukumu jeshi lote la polisi kwa sababu ya polisi mmoja aliyekiuka maadili"