Sam Sasali: Tusihukumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu,

Mtangazaji mkongwe wa Clouds Media Group, Sam Sasali ana neno kwa wote wenye tabia ya kulaumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja

==

"Watu wanahukumu jeshi lote la Polisi inapotokea shida lakini shida sio kwa Jeshi ni mtu mmoja mmoja. Ukisema traffic wanakula rushwa sio kweli ila kuna mmoja ambae umekutana nae anafanya hivyo. Ukisema Clouds wote wahuni sio kweli kuna mmoja umekutana nae akakuonyesha uhuni hivyo tusihukumu jeshi lote la polisi kwa sababu ya polisi mmoja aliyekiuka maadili"
 
Anasaka uteuzi
 
Ni akina nani wenye makosa ili tuwahukumu tuwaache wengine ?Tutajie ili wengine wapate amani wasiandamwe kwa uovu wa wengine.
 
JESHI LA POLISI LOTE WAMEOZA.WANATAKIWA WAFANYIWE REFORMATION
Nafikiri inafaa waandaliwe magereza maalumu na wafungwe wote vifungo vya maisha.(Maximum security Prisons)kwani wameshiriki pakubwa kulidunisha taifa hili,katika maendeleo yake,kwa watu wake katika uchumi,demokrasia,usalama,haki na ustawi wake.
 
Amesema ukweli...." Tusihukumu jeshi la polisi kwa kosa la "MTU MMOJA"!
 
Reactions: apk
Huyo chawa amejuaje kama ni mmoja?
Ukiona wanalaumiwa maana yake ni kwamba wengi wao wana hizo tabia za hovyo
Kuna mtu mmoja ndo wa kulaumiwa anamjua nasi tunamjua.
Afadhali kaamua kusema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…