Sam Sasali: Tusihukumu Jeshi lote la Polisi kwa makosa ya mtu mmoja

vimtu vifupi huwa ni vijinga sana aisee
 
anaogopa kutekwa
 
Clouds Media ni machawa wa mama, sijui na hili atakanusha?
 
Kafupi, kana sura ngumuu.
 
Hujaongea jipya. Mafunzo wanayopitia polisi yapo kwenye PGO. Sasa kama polisi hafuati PGO kwanini aachwe kulitumikia Jeshi. Akina Mafwele wametajwa kukiuka maadili ya PGO kama kweli Jeshi la Polisi liko serious kwanini halimchulii hatua Faustin Mafwele kwa tuhuma zinazo mkabili?
 
Hana akili, wakisema Africa ni maskini Kwani ni Africa nzima?? Aache nyege mshindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…