Samahan sana diamond na WCB Kwa ujumla

Yaani alichoongea mi mwenyewe namuona mbugila miaka buku kumbe ndo maana hata kiba anahisi jamaa mnafiki
 
Vipi ulinyimwa mwaliko halafu mbona kuhangaika huwezi kuzuia mafuriko na mkono sepa lakini hautasepa na kijiji ebu jaribu kujiuliza unafanya kazi au biashara kwaajili ya mtaa wako (sadist) ficha ujinga
 
yule ni mfanya biashara lazima aangalie maslah yake wew unataka aangalie maslahi ya wengi kwani ni mbunge wako? acha chuki binafsi
 
Hata alikiba naye aliwahi kupost kwa"nimemuona Simba origin" nadhani hapo alikuwa anamdhihaki mwezie anayetumia jina la Simba
Mkuu pumzika hao akilizao wanazijua kwao nyani haoni....
 
Diamond si kibendera kamwe
 
Jisikie home muungwana[emoji441][emoji573][emoji592][emoji598][emoji474][emoji383][emoji385][emoji384][emoji539][emoji537]haina kufeli nadhani umeelewa lugha ya emoj hizo
 
Mwiba huo
 
Vipi ulinyimwa mwaliko halafu mbona kuhangaika huwezi kuzuia mafuriko na mkono sepa lakini hautasepa na kijiji ebu jaribu kujiuliza unafanya kazi au biashara kwaajili ya mtaa wako (sadist) ficha ujinga
Kwahiyo Pale Domo alikuwa anafanya kazi gani?
Unafiki au? Ndio maana AliKiba hataki mazoea na huyu mwanahizaya.
 
nilikuwa nampenda sana dai ila niliposkiliza interview yake dhidi ya ommydimpoz nilimdhalau sana ukilinganisha na mwenzake alivyosema....dai anajua nguvu ya media hakupaswa kuongea maneno ya kanga...
 
Ambayo itakua mbaya kwa kiba kibiashara,maana jina la kiba linakuzwa na beef na diamond.
King Kiba ni kwa ajili ya watu matured...Diamond vitoto vya shule na wanyoa viduku.... Wasafi.com mchukueni hamorapa
 
nilikuwa nampenda sana dai ila niliposkiliza interview yake dhidi ya ommydimpoz nilimdhalau sana ukilinganisha na mwenzake alivyosema....dai anajua nguvu ya media hakupaswa kuongea maneno ya kanga...
Toka umdharau alishapungukiwa kitu kumchukia mondi ni sawa kujiletea.ugonjwa wa moyo bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…