nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
milion 1 mkuuMtaji ambao ume invest kwenye hiyo salon ya kwanza ni shingapi mkuu.
Na hiyo biashara ya pili unayotaka kuongeza mtaji umetoka wapi na bajeti yake ni sh ngapi umetenga
Kwanini? naomba ufafanuzi boss wanguOngeza Saluni.....
Sawa, kuna mda tunapaswa kuchukua ushauri ukitaka kufika mbali enda na watu mkuu
Saloon bossKipi kilileta chenzake
Ongeza saloonSaloon boss
Kwavip mkuu?ongeza salun, movie library ni usenge,....
sijafanya utafit sana Lakin naona kama vinashabihiana
Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata 75000-85000.
lengo nisogeze kama mita 200 hivi kutoka hii salon ya hapa iliyopo, nikaona nije kwanza kupata usharudi hapa kwa wabobevu wa hizi harakati.
NB. mimi ni kinyozi pia Lakin natumia kijana wa kazi ila nikirudi katika mishe naungana nae hasa
Tupe share tukupe madini itakua bado ujui malengo ya baishara yako..Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata 75000-85000.
lengo nisogeze kama mita 200 hivi kutoka hii salon ya hapa iliyopo, nikaona nije kwanza kupata usharudi hapa kwa wabobevu wa hizi harakati.
NB. mimi ni kinyozi pia Lakin natumia kijana wa kazi ila nikirudi katika mishe naungana nae hasa wikiend.
he phrase "You cannot teach a man anything; you can only help him discover it within himself" is often attributed to Galileo Galilei. It suggests that true learning happens through personal discovery and reflection, rather than simply absorbing information. Regional Science Centre RaipurSawa, kuna mda tunapaswa kuchukua ushauri ukitaka kufika mbali enda na watu mkuu
Ngoja waje kumpa miongozo...