GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Mmoja wa aliyekuwa akimng'ata ni Kocha wenu Mmoja mropokaji mno ambaye Kwao ( alikokulia ) ni Kigogo.Umenikumbusha ya Marehemu Mansour Magram alikuwa Coach mzuri ila alikuwa mukaka akiwang'ata sana wanafunzi wake.