Samahani, huyu Mtu ni nani?

Samahani, huyu Mtu ni nani?

Status
Not open for further replies.
Mkuu wanaume wa kibongo hawaelewi hilo, wao akili zao muda wote zinawaza ushoga tu, watu wana stress za maisha hivyo wanatafutaga pa kuzimalizia humu
Acha uzwazwa huyo ni shoga sema nyie wanawake mashoga ni mashoga zenu ndo maana mnawatetea, yaani mwanaume afanye mazoezi ya kuvimbisha matako eti kuwavutia wateja wakike NONSENSE, Huyo ni international bwabwa ana masponsor wake
 
Huyu anawavutia wanawake wafanye mazoezi wawe na tako lenye sheep... jamanii sio bwabwa
Acha uzwazwa huyo ni shoga sema nyie wanawake mashoga ni mashoga zenu ndo maana mnawatetea, yaani mwanaume afanye mazoezi ya kuvimbisha matako eti kuwavutia wateja wakike NONSENSE, Huyo ni international bwabwa ana masponsor wake
 
King of squats huyu jamaa amenifanya nizidi kuchukia squats, huo muonekano wake ni moja ya mionekano ambayo siipendi, kuliko kuwa hivyo ni heri niwe mwembamba kuanzia juu mpaka chini kama moja
Squats wala hazina shida inategemea na upigaji wako , ukibendi kama upinde ndio unapata matokeo ya hivyo, ila ukipiga kwa kunyooka ni zoezi zuri mno
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom