Samahani, huyu Mtu ni nani?

Samahani, huyu Mtu ni nani?

Status
Not open for further replies.
Wale wa training mwalimu wenu kashaingia Arusha.Jamaa hana agenda kweli ya LGBTQ
 

Attachments

  • FB_IMG_1719671620995.jpg
    FB_IMG_1719671620995.jpg
    89.1 KB · Views: 3
Huyu jamaa wala hajawahi kujitangaza kuwa ni shoga ila nyie ndio mnamtangaza, alafu nchi haiwezi fukuza mtu hovyo huyo ni msouth Africa ukimtimua raia wao tegemea wako 500 watatimuliwa wasouth nuksi cha.muhim mpotezeeni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom