Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Hakuna mwanaume pale? Huyo ni bwabwa tuAna jina lake anaitwa DLAMIN aka king of squart ni gym trainer mzuri saaana,yawezekana ni bora kabisa Afrika,anatumia nyimbo haswa za tamaduni za kisouth huko,ni mzalendo sana huyo bwana, hata mi nilijuaga bwabwa ila kumbe sio japo sijachimba sana historia yake