Samahani kwa Kuuliza hivi Daraja Jipya la Mto Wami limeshazinduliwa? Na kama bado ni Kwanini?

Shida tu alikuwa na roho mbaya, nafsi alizilaza udongoni Mungu Fundi
unadhani maendeleo yanapatikana huku ukibembeleza watu? Unataka ufanye miradi ya maendeleo huku unafanya anasa? Unataka uliridhishe kila mtu, utasimamiaje sheria? Utakusanya vipi kodi? Unakusanya wakuu wako wote wa wilaya na wewe mkuu wa mkoa kupeleka makusanyo ya hela za kusaidia watu Hanang, utafinance vipi maendeleo kwa spending culture ya namna hiyo? Hata wewe binafsi bila kua na roho mbaya, maendeleo sahau. All great nations on earth, had to take ruthless measure kua wakubwa hivyo.
 
Una Akili sana ila nasikitika umepoteza muda wako mzuri Kulielimisha hilo Pumbavu ( Juha ) Mwandamizi.
 
unadhani maendeleo yanapatikana huku ukibembeleza watu? Unataka ufanye miradi ya maendeleo huku unafanya anasa? Unataka uliridhishe kila mtu, utasimamiaje sheria? Utakusanya vipi kodi? Unakusanya wakuu wako wote wa wilaya na wewe mkuu wa mkoa kupeleka makusanyo ya hela za kusaidia watu Hanang, utafinance vipi maendeleo kwa spending culture ya namna hiyo? Hata wewe binafsi bila kua na roho mbaya, maendeleo sahau. All great nations on earth, had to take ruthless measure kua wakubwa hivyo.
Ndiyo maana hatunaye roho mbaya haishi, Muangalie Mzee Mwinyi na JK.
Unaondoka nafsi za watu unategemea utaishi never ever.
 
Hongera Mama Samia (aka kizimkazi) kwa kuukarabati uwanja wa Taifa (Mkapa) na kuupeleka katika viwango vya FIFA. Awamu ya tano ilishindwa kabisa kulitekeleza hili ila wewe umeweza na umekamilisha.
 
Tunajua hamjataka Kulizindua kwa Mikogo kwakuwa mnajua Sifa nyingi zitaenda kwa Hayati JPM na Wengine hawatakuwa na cha Kuwabeba kwani mpaka sasa hakuna Walichofanya zaidi ya Kuigiza Filamu tu kama hii mpya ijayo ya Kijiji cha Milele.

Hovyo kabisa.
Hiki ndicho ulichotaka kuandika. Huna lolote. Litaja zinduliwa tu. Kama bado.
Ila latest lipo kwenye pharse ya majaribio kabla ya uzinduzi ambayo ni utaratibu wa madaraja na hata barabara kubwa kwa macontractors.
 
Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu, ila popote pale ulipo Hayati John Pombe Magufuli Roho yako ilale mahala pema peponi. Amen.
Kama una uchawi wa Mali utumie upate Mali,usijiumize kwa haya makitu magumu siyo Haki yako.
 
Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu, ila popote pale ulipo Hayati John Pombe Magufuli Roho yako ilale mahala pema peponi. Amen.
Shida ya wananchi haikuwa kuzindua daraja bali kulitumia! Mwisho tenda wema usepe zako siyo unasubiri misifa kama shetani!
 
natamani kampuni iliyo jenge lile daraja ipewe madaraja mengi ijenge ipo vizuli sana ata kule pangani sijui ndo hiyohiyo mana ndo ma daraja yatako fanana sana kwa ukubwa
 
Back
Top Bottom