Wengine wapo kwa mujibu wa katiba mkuu.Kwangu Mimi GENTAMYCINE mpaka sasa ninachojua Rais wangu ni JPM tu hao Wengine siwaelewi Wanaongoza nini na wamefanya nini mpaka sasa zaidi ya Kupuyangapuyanga tu.
Shida tu alikuwa na roho mbaya, nafsi alizilaza udongoni Mungu FundiMagu kafanya mengi
unadhani maendeleo yanapatikana huku ukibembeleza watu? Unataka ufanye miradi ya maendeleo huku unafanya anasa? Unataka uliridhishe kila mtu, utasimamiaje sheria? Utakusanya vipi kodi? Unakusanya wakuu wako wote wa wilaya na wewe mkuu wa mkoa kupeleka makusanyo ya hela za kusaidia watu Hanang, utafinance vipi maendeleo kwa spending culture ya namna hiyo? Hata wewe binafsi bila kua na roho mbaya, maendeleo sahau. All great nations on earth, had to take ruthless measure kua wakubwa hivyo.Shida tu alikuwa na roho mbaya, nafsi alizilaza udongoni Mungu Fundi
Una Akili sana ila nasikitika umepoteza muda wako mzuri Kulielimisha hilo Pumbavu ( Juha ) Mwandamizi.unadhani maendeleo yanapatikana huku ukibembeleza watu? Unataka ufanye miradi ya maendeleo huku unafanya anasa? Unataka uliridhishe kila mtu, utasimamiaje sheria? Utakusanya vipi kodi? Unakusanya wakuu wako wote wa wilaya na wewe mkuu wa mkoa kupeleka makusanyo ya hela za kusaidia watu Hanang, utafinance vipi maendeleo kwa spending culture ya namna hiyo? Hata wewe binafsi bila kua na roho mbaya, maendeleo sahau. All great nations on earth, had to take ruthless measure kua wakubwa hivyo.
Ndiyo maana hatunaye roho mbaya haishi, Muangalie Mzee Mwinyi na JK.unadhani maendeleo yanapatikana huku ukibembeleza watu? Unataka ufanye miradi ya maendeleo huku unafanya anasa? Unataka uliridhishe kila mtu, utasimamiaje sheria? Utakusanya vipi kodi? Unakusanya wakuu wako wote wa wilaya na wewe mkuu wa mkoa kupeleka makusanyo ya hela za kusaidia watu Hanang, utafinance vipi maendeleo kwa spending culture ya namna hiyo? Hata wewe binafsi bila kua na roho mbaya, maendeleo sahau. All great nations on earth, had to take ruthless measure kua wakubwa hivyo.
Hiki ndicho ulichotaka kuandika. Huna lolote. Litaja zinduliwa tu. Kama bado.Tunajua hamjataka Kulizindua kwa Mikogo kwakuwa mnajua Sifa nyingi zitaenda kwa Hayati JPM na Wengine hawatakuwa na cha Kuwabeba kwani mpaka sasa hakuna Walichofanya zaidi ya Kuigiza Filamu tu kama hii mpya ijayo ya Kijiji cha Milele.
Hovyo kabisa.
Waliopita walifanya mengi, waliopo watafanya mengi na watakaokuja watafanya mengiMagu kafanya mengi
Fikra zako duni sana.Ndiyo maana hatunaye roho mbaya haishi, Muangalie Mzee Mwinyi na JK.
Unaondoka nafsi za watu unategemea utaishi never ever.
Aaah wapiWaliopita walifanya mengi, waliopo watafanya mengi na watakaokuja watafanya mengi
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Ni Huyu Waziri Makame Alikwenda Pale Nadhani Akatoa Maagizo Tu Watu Wakaanza Kuserereka Juu Juu Bila Shaka Nahisi Jambo Likawa MwayangumwayanguLimezinduliwa lini na nani Mkuu? Jibu.
Kama una uchawi wa Mali utumie upate Mali,usijiumize kwa haya makitu magumu siyo Haki yako.Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu, ila popote pale ulipo Hayati John Pombe Magufuli Roho yako ilale mahala pema peponi. Amen.
hahahaha!unasema??sijasikia vzrKwangu Mimi GENTAMYCINE mpaka sasa ninachojua Rais wangu ni JPM tu hao Wengine siwaelewi Wanaongoza nini na wamefanya nini mpaka sasa zaidi ya Kupuyangapuyanga tu.
Shida ya wananchi haikuwa kuzindua daraja bali kulitumia! Mwisho tenda wema usepe zako siyo unasubiri misifa kama shetani!Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu, ila popote pale ulipo Hayati John Pombe Magufuli Roho yako ilale mahala pema peponi. Amen.
Kila nikipita pale lazima nimkumbuke JPM...nimepita nikienda na kurudi moshi!hakika CHUMA JPM aendelee kupumzika kwa amani!May GOD let him in Heaven!
Wapaka m.vi.... kama huyu huwa hawakosekani popote pale. Hata wakati wa Yesu walikuwepoShida tu alikuwa na roho mbaya, nafsi alizilaza udongoni Mungu Fundi
GENTA ndugu yako P didy haonekani sana siku hizi😅😅😅kafinywa?Limezinduliwa lini na nani Mkuu? Jibu.