Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Mhhh mimi humu napita kama tupo kijiweni kunywa ghahawa japo sitilii maanani hizi habari ila Jf ni kichaka aisee

Wakati wanaweka zako unakumbuka ?

Ilikua miaka mingi iliyopita iliwekwa Invisible akaitoa ......kuna mpuuzi mmoja Kama anajaribu kuni blackmail nazo,,,,, sasa mimi niliyepiga na yeye aliyehifadhi miaka yote hii nani mpuuzi ...??? Mxiewww
 
Kama kavaa uhusika alafu sio yeye basi kautendea haki uhusika
 
Sasa kwanini ulimkimbia bila kumpa nauli ya kumrejesha kituo chake cha kazi?
Unatongoza mtu hata hujui sura yake wala umbile lake. Yaani kwa kifupi ulitongoza id yake. Ulichofanya siyo kizuri ulitegemea atarudi vipi Mwanza?
Nyie ndo wale wanaume ambao wakiona tundu lolote wanataka kuingia.
 

Kweli ndio tupo wabaya kiasi hikiii daaah halaf hamkomi tu na nyie πŸ€£πŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Hiyo ni lugha ya picha imetumika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nimecheka sana
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tufanyeje aweke namba tu [emoji14]
Aweke tu namba wenye roho zetu tumrudshe mwanza wasijemuibia sweta lake bure [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…