Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Hivi huyu mleta mada ameweka walau screenshot za hizo message za matusi ili tubalance stori...
 

Humu ni tatizo na structurally not possible!

Maana unaweza tongoza mkeo au dada yako kabisa!

By design JF ni very risky kutongoza!

Na the main reason ni kwamba tunatumia anonymous format hivyo actually humjui the other party!

Mpaka mkutane which is very very risky!

Plus,kuna β€œWasiojulikana”,which is even dangerous!
 
Nyote hamnazo,hasa wewe kidume mwenzangu unaanzaje kumkimbia mwanamke uliyekwisha tumia gharama kubwa namna hiyo?hapo mjinga No 1 ni wewe
 
Ila kutongozana mtandaoni especially jf n tabu tupu,,, unaweza mtongoza hata mke wako au ndugu yako. Tuacheni haya mambo jamani
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Nimezisoma zote ila sijaelewa hapo uliposema ananawa uso kumbe na wenzake wakimuona wananawa uso!!

Au ndiyo umemaanisha kwamba na yeye ni mbaya kama ambavyo anasema wanawake wa humu wengi ni wabaya??
Ulisoma comments zake vizuri???[emoji3]
 
Halafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu

Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
Mamaaae zake bao moja mwanaume . Bloodfool. Hata angekuwa na sura kama buti la mgambo lazima 76K yangu ilipe 4+ . Nani amesema kisu cha mchinjaji kinachagua ng'ombe

7800 ilikuwa ya nini kwa mahesabu yake?
 
I've gain something new here
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Halafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu
Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
Nawasikitikia sana mama zetu, hivi hadi wanawake wenyewe tusilao kubwa ni kiungo kile muhimu cha uzazi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…