GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na Mama yako Mzazi pia.Akili imeadimika miongoni mwa Watanganyika hususani popoma
Helicopter ile ya jeshi ni iko salamaaa japo ya hakuna kitu hatari kwenye aviation kama Helicopter muda wowote inamshinda pilot....Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na nasikia kuna wakati huwa inatumiwa sana na Baba, Mama, Mpaka Supa Blaki na Sura Ngumu Funga Buti kuwaharakisha waendako.
Dr Matola PhD ile Chopper yako iko salama Kweli? Sitaki matatizo kwani nitaitumia zaidi July - Oktoba 2025 sawa?
Kuna zile zilikuwa zinatengenezwa Arusha Kigoma enzi za Tanzania ya viwanda ziliishia wapiHelicopter ile ya jeshi ni iko salamaaa japo ya hakuna kitu hatari kwenye aviation kama Helicopter muda wowote inamshinda pilot....
Ule si uchafuKuna zile zilikuwa zinatengenezwa Arusha Kigoma enzi za Tanzania ya viwanda ziliishia wapi