Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
Picha zaidi tukisha kubaliana kwanza. Ahsante saaanaBadili profile tuone picha zingine
Badili profile tuone picha zingine
Nimesha waona tayari, ahsante saaanaBinadam wote tunakosea..msamaha wako kwa moyo mkunjufu nimeupokea ingawa sijui kosa lako.usipende kuomba msamaha sana humu.wamejaa wahuni tuu wengi ila sio wote
😂😂😂😊
dish limelekea kwenye satelaiti husika au upepo umevuma limeyumba?
Kosa alikuwa anatujibu yan dah! Me mwenyewe aliniingiza kwenye kundi lisilo 🤣Binadam wote tunakosea..msamaha wako kwa moyo mkunjufu nimeupokea ingawa sijui kosa lako.usipende kuomba msamaha sana humu.wamejaa wahuni tuu wengi ila sio wote
🙏🙏Sawa aunt London, umeeleweka vyema
Nimeshaomba msamaha kwa kujibu kuwa sikujua bado najifunzaKosa alikuwa anatujibu yan dah! Me mwenyewe aliniingiza kwenye kundi lisilo 🤣
Umeanza kujifunza tena?? ...ina maana umeghairi tena kutafuta mume...au??Sawa najifunza
Nimejifunza kwamba baadthi ya watu humu wa napenda kujaji kuliko kuuliza kujuwa.Umeanza kujifunza tena?? ...ina maana umeghairi tena kutafuta mume...au??
[emoji1787][emoji4]
dish limelekea kwenye satelaiti husika au upepo umevuma limeyumba?