Samahani sana

Samahani sana

Zanzibar2014

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
743
Reaction score
591
Kuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo siyo zangu.

Jamani siyo kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema.

Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi kufahamishwa na nimeomba msamaha.

Ambao hawakusema kitu nawaomba msamaha na hao pia. 🙏🙏
 
Binadam wote tunakosea..msamaha wako kwa moyo mkunjufu nimeupokea ingawa sijui kosa lako.usipende kuomba msamaha sana humu.wamejaa wahuni tuu wengi ila sio wote
Nimesha waona tayari, ahsante saaana
 
Back
Top Bottom