Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

Marytina

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
9,585
Reaction score
7,766
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga

mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa

Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)

Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru

(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)
 
Mimi ni mzungu uko tayari kujiexpress?
 
Merytina! Why mpendwa! Hebu zishinde hizo hamu zako! Plz my love usiziendekeze coz hazitakuongezea chochote! Acha hizo bana mzungu ndo nini kwani?
 
Hivi naniliu zinatofautiana?:A S 114:
Au unaongelea kwa habari ya MASLAHI zaidi!
 
LOL... LOL... Marytina umenifurahisha na am impressed pia... Express your self dear...
 
Dogo utamaliza mabucha nyama ni ile hile,"chunga sana ulichonacho muovu asikunyang'anye" "mwili wako ni hekalu la roho mtakatifu"
Unajiskia raha sana kuvua vua nguo eeeeh?uoni aibu?uonei kinyaa kila mti ukuchome jichoni?mwisho wa siku si utapofoka?na mwenzio akiwa na akili maji kama yako akasema akaonje pembeni mwisho wake ni nn?ukimwi robo + robo = nusu
Umeniudhi sina kawaida ya kutumia maneno mabaya au jazba.
SAMAHANI KAMA NIMEKUKWAZA.
 
Sijakuelewa. Unaomba ushauri au unatafuta huyo Mdhungu JF? Maana naona mada yako kama ni conclusive.
 
mnavyoona wanaume wanaangaikia madem wengine wachukulieni poa
 
wamasai wengi wanakimbiwa na mademu wa kizungu kwa sababu laini ya tigo hawaitumii, japo wazungu wanawapenda kwa uwembamba wao, waafrika hatuwawezi wazungu kwa mapenzi ya aina yoyote, sisi tunafikiri kimimina tu, japo wengi wetu
 
Mwacheni mwenzenu jamani kaelezea hisia zake hapa.....go and get ur wish MeryTina Arusha si wapo wengi tu

Ingekuwa huku Chunya nilipo, ingekuwa ngumu

So simply itabisi ujitongozeshe...:israel:
 
Kwa nini watu waudhike na hamu uliyonayo? Beats me!!
 
alafu ww am watching u kwa ukaribu
Mwacheni mwenzenu jamani kaelezea hisia zake hapa.....go and get ur wish MeryTina Arusha si wapo wengi tu

Ingekuwa huku Chunya nilipo, ingekuwa ngumu

So simply itabisi ujitongozeshe...:israel:
 
Mwacheni mwenzenu jamani kaelezea hisia zake hapa.....go and get ur wish MeryTina Arusha si wapo wengi tu

Ingekuwa huku Chunya nilipo, ingekuwa ngumu

So simply itabisi ujitongozeshe...:israel:

Jamani ajitongozeshe wapi tena wakati humu kuna mzungu tunae anaitwa masanilo ameshajitokeza, tena nadhani huyu amekuja Tanzania kama mmisionari. kwahiyo msishangae kiswahili anachoandika humu, kwani hata mimi paroko wetu mtaani simuwezi kwa kiswahili na ni mzungu kutoka Holland.
 
wamasai wengi wanakimbiwa na mademu wa kizungu kwa sababu laini ya tigo hawaitumii, japo wazungu wanawapenda kwa uwembamba wao, waafrika hatuwawezi wazungu kwa mapenzi ya aina yoyote, sisi tunafikiri kimimina tu, japo wengi wetu
So huyu merytina ni mdada wa kizungu?? Afu nani kakudanganya kuwa mwanamke usipotumia tGO anakmbia?? Sio kweli bana na muache kuwadhalilisha wanawake. Tena kama una mpenzi tafadhal usijaribu kumfanyia huo mchezo, ni hatari kwa afya yake na yako pia.
 
Ubarikiwe sana!

Mch Masa K wa Masanilo Revival church
 
Upo tayari kujiexpress wazungu wanakula kote kote hawachagui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…