Poleni sana dada zangu kwa haya maneno, Chauro, Caro Denzi, WL, afrodenzi, Dena Amsi, Black Berry, Sweetylady, Pearl. LD etc
Najua haya ni matusi yenye lugha tamu ktk jinsia yenu, yanauma, yanachukiza, yanapandisha hasira, yanakera, yana kila aina ya maudhi.
Mimi sio jinsia yenu lakin I can feel your pain.
Huyu kiumbe haelewi kwamba UMALAYA au UFUSKA ni pale unapotoka nje ya mpenzi/mume wako ambaye unasisitiza kumpenda na kumlinda(hata kama ni only once au only half). Haelewi kwamba huku KUMLINDA au KUMPENDA kunaisha akishatembea na mzungu, na mbaya zaidi anataka condomless ili apate juisi ya kizungu (kama alivyojieleza hapo juu). Hichi kinyaa (kwake s.h.a.h.a.w.a ni sawa na juisi) sijui nifananishe na nini???? Ingawaje anasema ni HISIA TU ili atetewe ionekane sio kosa, lakin wakati huohuo anawazia KUITEKELEZA hiyo hisia ifanyike kweli.
Merytina
Ingawaje unatumia mgongo wa JF na kutofahamika kwako kupost hata mawazo ya kishetani, lakin yapaswa ufikirie mara mbili unapozungumzia kitu kinachogusa jinsia na utu wa mwanamke. Hata kama utapenda uonje mikojo ya kizungu, fikiria mara mbili mbili kabla hujaamua kujitukana.
Mwisho nashukuru kwa kujianika kwako.