Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

Bishanga Merytina si mtoto mdogo, watu wanahangaika kupata wapenzi waloridhika nao hawapati! Kujibu kuichukulia serious mtu unashindwa - kuna fantasies wanadamu tunakua nazo kichwani ambazo inabidi usithubutu kutaja hadharani. Kwa hii thread yake Merytina kawaweka wadada katika hali ngumu saana kwa wanaume waloiona/soma this thread. Na si kwamba anaomba ushauri, anatupasha; ukizingatia alijua kabisa itakuwaje maana kisha omba samahani kwenye topic kabla hata hujafungua thread yenyewe. Mtu alofika level ya kuelezea hivyo kisha amuua and there is nothing we can do about it. Hivyo basi let her express her self, maana ni ktk JF this is how we get to know one another.

Narudia tena, Merytina Express your self mdada....
Asha you are my sister form another mother

Utafikiri nimekuazima ubongo wangu ukautumia kupost hisia zangu
Thanks alot, achana na wanafiki (KUNA MAMBO MTU UNAYATAMANI ILA NI YA AJABU KIASI KWAMBA HUWEZI MWAMBIA AKUJUAYE so JF is the place for them)

Fikiria mwenzako nae akisema anataka kuonja waMakonde japo anakupenda utajiskiaje...kama unaona haitakua tatizo kwako basi endelea kutamani mpaka utakapopata hicho roho yako inachotaka!!!

Usisahau kinga tu maana kumletea mMassai mtoto wa kizungu haitakua moja ya faida!!!
well and good dear
ya nini kuteseka maisha yote kwa kitu unachoweza kukifanya 'once with mzungu'
kinga lazima nampenda sana mmasai sitaki kabisa kujiharibia kwake
 
Dada basi umeshaeleweka, hii topic naomba ifungwe inajaza server sasa.
 
well and good dear
ya nini kuteseka maisha yote kwa kitu unachoweza kukifanya 'once with mzungu'
kinga lazima nampenda sana mmasai sitaki kabisa kujiharibia kwake
Baada ya hamu ya mzungu kuisha itakuja hamu ya Mbwa. Hizi hamu hua haziishi ndugu yangu.
 
kwi kwi kwi teh teh teh mbavu sina maana naona tunaelekea mpaka kwa farasi. Tusione wazungu wanafanya mambo ya ajabu ajabu nao walianza kuwaza hivi hivi mara nijaribu nyani mara mbwa mara farasi na mengine mengi teh teh hamu inazaa hamu nyingine mmmh
 
well and good dear
ya nini kuteseka maisha yote kwa kitu unachoweza kukifanya 'once with mzungu'
kinga lazima nampenda sana mmasai sitaki kabisa kujiharibia kwake

ulipotea sana juzi kati hapa kwa JF,
au ndo ulikuwa unasearch huyo mzungu wa kukupa hiyo fantasy?
sorry, hata hivto huko Arusha wamejaa hao jamaa!!!!
Enjoy!!!!!!!!!!!
 
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga

mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa

Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)

Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru

(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)
mimi ni half cast wa kijerumani kwa baba na mama ni half cast wa kijerumani na kingoni kwa hiyo ukinicheki ni Zungu beri ile zungu flani hivi sio kama Mwisho Mwambamba ila niko kama Batista yule mwana mieleka sema mimi nina nywele nyingi sana nazibana kwa nyuma halafu zungu msuba ila na swagga zote za kitasha full mi-kahki mabegi kamera kuubwa na sigara sanaaaaaa, pia muda wowote nimebeba novel huwezi jua kama ni mbongo ukiniangalia
 
naongelea pure breeds za kizungu
 
Watu bwana...wanapenda ku-judge wenzao huku utadhani wao hawana tamaa zao! If she wants mzungu, kachukue mzungu. Wengi wanasema your desires are only flesh deep! Which is true. Lakini kama kweli unataka, kwa vile umeshawaza, hakuna tofauti na kufanya!
 
mimi ni half cast wa kijerumani kwa baba na mama ni half cast wa kijerumani na kingoni kwa hiyo ukinicheki ni Zungu beri ile zungu flani hivi sio kama Mwisho Mwambamba ila niko kama Batista yule mwana mieleka sema mimi nina nywele nyingi sana nazibana kwa nyuma halafu zungu msuba ila na swagga zote za kitasha full mi-kahki mabegi kamera kuubwa na sigara sanaaaaaa, pia muda wowote nimebeba novel huwezi jua kama ni mbongo ukiniangalia

For once I thought Ernest Hemingway was back... love the description of your version of Mzungus!! Akin of my thinking in mid 80's...:happy:
 
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga

mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa

Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)

Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru

(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)
Ohhh ... Yesss....! Mimi ninayo kampuni yangu ya tours, na obvious nakuwa na wageni kutoka Europe, Asia, US, Canada etc. kwa ajili ya kutembelea sehemu mbalimbali za Tanzania...! Mara nyingi huwa katika bookings hujiexpress juu ya hobbies zao, with their monetary offers....! Please, may you PM me for this opportunity? As you said, it might be only once, or one night stand, or if possible just have a trip with him/them to their touring sites...! They may have a condition of two or more men to share a single woman....! So, it is better we contact so that we can bargain on this...! Be free on your minds...!
 
kwenye contract law hii wanaita ‘invitation to treat'!hahahahahahaha
kazi ipo hapo...
 
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga

mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa

Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)

Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru

(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)
Hapo kwenye red umeamua kuongea lugha uliyofundishwa na mhaya nini??Mimi giriki utamaind flag??na mimi ninahamu na mwafrika japo nichit mara moja tuuu njo katika pm tupange!!Usione najua kiswahili nilikuwa father songea!!Karibu:bange:
 
kwenye contract law hii wanaita ‘invitation to treat'!hahahahahahaha
kazi ipo hapo...
Na kama atakubaliana na invitation yangu nitafurahi sana...., na huenda nikampatia na extra tip.....! Hahahaha....!
 
Back
Top Bottom