- Thread starter
-
- #281
Asha you are my sister form another motherBishanga Merytina si mtoto mdogo, watu wanahangaika kupata wapenzi waloridhika nao hawapati! Kujibu kuichukulia serious mtu unashindwa - kuna fantasies wanadamu tunakua nazo kichwani ambazo inabidi usithubutu kutaja hadharani. Kwa hii thread yake Merytina kawaweka wadada katika hali ngumu saana kwa wanaume waloiona/soma this thread. Na si kwamba anaomba ushauri, anatupasha; ukizingatia alijua kabisa itakuwaje maana kisha omba samahani kwenye topic kabla hata hujafungua thread yenyewe. Mtu alofika level ya kuelezea hivyo kisha amuua and there is nothing we can do about it. Hivyo basi let her express her self, maana ni ktk JF this is how we get to know one another.
Narudia tena, Merytina Express your self mdada....
Utafikiri nimekuazima ubongo wangu ukautumia kupost hisia zangu
Thanks alot, achana na wanafiki (KUNA MAMBO MTU UNAYATAMANI ILA NI YA AJABU KIASI KWAMBA HUWEZI MWAMBIA AKUJUAYE so JF is the place for them)