Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi


Sina uhakika kama wewe sio kicheche...
 


Jambo merytina....mimi iko musungu kabisa........niko tatulia veve shida yako yote kabisa....mimi iko musungu ndani yangu, ila kwa inje iko hapana musungu....sasa hebu vasiliana na mimi.......
 
mwee wiki hii kuna kazi na hawa vijana wangu ..jana kuna mmoja kafeli anataka ushauri tunamwambia afanye kilimo hataki..sasa huyu naye mambo ya maloveee...ngoja nifanye consultative meeting na mchungaji Masa ,ntarudi kumjibu binti wa Arusha ...
 
Halafu leo nimechoka kweli nlikuwa nataka hata nikutukane ngoja niache tu kwaiyo unataka kufanyaje ati uwiiii...........ngoja niende zangu nikapumzike mie.
 
go ahead, all the best....:bange:,last time ulitaka ushauri wa mmasai na mchagga,leo mmasai na mzungu....baadaye utakuja mmasai na msonjo

dah hapo umemgusa jamaa yangu LOL Michelle bana:A S-baby:
 
Usitudanganye kwamba mjapani/mchina/mwarabu huwezi
ulivyotamani mzungu ndivyo utakavyotamani na hao wengine
Piga goti mwite Mungu wako akutoe katika tamaa uliyonayo
nwyz kila la heri

Ukianza kumtamani Mchina usisahau kutujuza
 
Nani kakudanganya kuwa eti ukijiexpress ni dhambi?

Hao wanao sema ni dhambi ndo watumiaji wazuri kule raha bana kitu mnato.

Unakuwa na KY yako mfukoni dah kitu shaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kaka hapo kwenye bold umenikumbusha mbali sana....Tone moja tu linatosha....!!!
 
Leo mimi mkavu kabisaaa wala sijaonja kitu. Hapa nazungumzia uzoefu wa hii kitu na raha zake.

Hivi kumbe ni wewe sikujua dah haya bana endelea kutenda dhambi ipo siku utayakumbuka maneno yangu
 
Jamani Merytina=Marytina amewaomba samahani tena kwenye title mbona mnamwia wakali hivyo wapendwa???
 
Merytina! Why mpendwa! Hebu zishinde hizo hamu zako! Plz my love usiziendekeze coz hazitakuongezea chochote! Acha hizo bana mzungu ndo nini kwani?
nimevumilia ila kwa sasa nashindwa given that kuna mzungu ananizengea
 
Hili swali umeuliza Kaizer au nani hebu ngoja niweke miwani yangu vizuri maana naona kama kizunguzungu siamini macho yangu

eeh labda nimedandia treni kwa mbele?

Jamani Merytina=Marytina amewaomba samahani tena kwenye title mbona mnamwia wakali hivyo wapendwa???

hahahaha.....mbona hata ww umeruka naye?
 
inamana hujaenda hata hapo viavia kujipatia mzungu ikashindikana? pili unasema unataka iwe mara moja tu kumsaliti mpenzi wako huoni ya kuwa hako kamchezo katajenga tabia ya usaliti ndani ya ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…