Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
tafadhali tusitukanane
he!
Nadhani hakuna anaekereka na tamanio zako,
please endelea ukijua faida na hasara zako.
Mbona wengi tu wanatamani mambo ya ajabu kuliko hayo?
Uzuri wa kuwa mkweli katika mazingira uliomo ni jambo la kuzingatia, japo si la kufurahia sana.
Just out of curiousity, je wewe huwa unaishi kwa kufuata tamaa zako au niongozo fulani uliojiwekea?
Na nyie bado mnachangia hili lithread mbona mnaniudhi hakyanani ndo hawa kesho ataamka na kuleta tena up.....p...a humu!
Oooow! Nadhani ni muda muafaka wa mtoa roho kua na ofisi ndogo duniani maana tumezidi! Unaomba ruhusa ya ku-certify laana? Dada karibu kwenye maombezi...dawa ya ukimwi haijagundulika bado!
haya tena kumekucha!! Mhhhh....mie hawa watu weupe nimewagonga wote wadoc/wachina/waarabu na wazungu lengo langu ilikuwa ni kuwaonja tu test zao zikoje na kuweka jiwe la msingi,ila Mwafrika mwenzangu ndiye ninayempenda sana kuliko ngozi nyeupe.
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga
mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa
Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)
Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru
(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)
Mwacheni mwenzenu jamani kaelezea hisia zake hapa.....go and get ur wish MeryTina Arusha si wapo wengi tu
Ingekuwa huku Chunya nilipo, ingekuwa ngumu
So simply itabisi ujitongozeshe...:israel:
Mbona hata wewe hapa ndio umeshachangia hivyo! haijarishi umeandika nini lakini uko ndani ya thread hii hii.
Tehe tehe tehe.Heri mimi sijachangia!
hivi ni ww kweli au?kweli Fidel80 ni zaidi ya umjuavyo lol
Fidel muache tu alivyoTF na wewe unamuunga mkono Fidel??
No! Arusha waitaliano ni wachache
Waingereza,marekani na wahispania wapo tele
Yani ndo tuachane nae ivo maana simuelewi au wewe mwenzangu umemuelewa
huyo bosi kaka mchaga hakupewa uroda, kwenye ile sredi nimeeleza liko waziHivi yule mchaga mwenye pesa si ulikuwa naye papendikula na huyu mmasai? Mbona hayumo kwenye list? https://www.jamiiforums.com/mahusia...4496-wadada-tu-wakaka-hamuhusiki-hapa-25.html . Kama unaona Rev Fr Masanilo hafai kuna rafiki yangu Mjerumani anakuja kutembea Tanzania mwezi wa saba kwa nia kama yako, ni-PM nikuunganishie.
Heri mimi sijachangia!
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga
mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa
Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)
Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru
(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)
huyo mpenzi wako ni jini
Unajuwa sisi wengine tunaspend muda mwingi kwenye jukwaa la siasa, sasa kwenye jukwaa hili tunakuja kupumzisha akili badala ya kwenda Facebook kwahiyo mimi naona poa tu. sometime don't take life too serious.