Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
i never break rules
Nikisema mara moja sibadilishi nione hivi kimapepe ila sisombwi hata kwa mto Nile
Akija mzungu koko akirusha ndoano tu tayari amesha kumega kilainiiiiiiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i never break rules
Nikisema mara moja sibadilishi nione hivi kimapepe ila sisombwi hata kwa mto Nile
Mkuu mimi nashukuru nina mrithi wangu dume la mbegu safi kabisa, lakini hizi sanaa nyingine kwangu hazina nafasi, maana kuna engagement ring, then wedding ring halafu inafuata suffer ring. mimi aka sitaki kufa kabla atujaikombowa nchi yetu. style ni eat & run.Halafu mtu unadanganyika una mke sijui girl friend.....full wizi huu
Ninaahirisha kuowa till further notice!
Hujajibu ombi la mchungaji kwako!
Mi mwenyewe mzungu njoo nikurukishe kichura chura achana na mvaa lubega huyo
Nimejibu hujaona haya ngoja nirudie nimekubali kuninunulia jo jo.......
Una kesi ya kujibu mbona na wewe unapotezea
style ni eat & run.
Mkuu mimi nashukuru nina mrithi wangu dume la mbegu safi kabisa, lakini hizi sanaa nyingine kwangu hazina nafasi, maana kuna engagement ring, then wedding ring halafu inafuata suffer ring. mimi aka sitaki kufa kabla atujaikombowa nchi yetu. style ni eat & run.
ivuga hili limenidrive as story ya office mate wangu ambaye ni mke wa mtu so inawezekana kabisa hata mkeo/demu wako akawa kama mimi tena mbaya zaidi yeye anawazia mwarabuHebu fikirieni kuwa huyu ni mke wake mwanaume umemuweka ndani halafu yeye ana mawazo ya kipuuzi kama haya
Mbona unakuja na kauli za kukatishana tamaa? mama mkwe! du wajanja wameshawahi hapa.
<br />tafadhali tusitukanane
Jo Jo inakwenda na yale mambo yetu! Umepata....kesi ipi tena!
Pearl hapa hatujuani kwa sura kwa hiyo sina haja ya kusema uongo.wa 4-5-6-7-8-9-10 nao watakuja na utawavulia tu,si unajua mlamba asali uchonga mzinga?alafu haina mabega hiyo itapita tu.Tunahuhakika gani ni wawili tu?
Kaja kuamsha vilivo lala lol hapa najindaa kwenda kutoa reward kwa mtoto.
Suffer ring - Nimeipenda hii. Kwa hali hii bora kujiweka pembeni mkuu. Ya nini ufe siku sio zako???
wewe unavo mfanyia masai sio vizuri jiurize ungekua ni ww mruhusu basi na msai wako na yy aende kwa mhindi