Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 379
- 125
We Mwanamke inaonekana Unafukuto kwenye nafsi yako,Lipo Angaiko kubwa!
Kila mtu hapa duniani akiamua kuitikia Viamshi/matamanio yake nina hakika Dunia itakuwa sehemu mbaya zaidi ya kuishi!!!
Imeandikwa,MPINGINE SHETANI NAYE ATAWAACHA!!
CHUKUA HATUA,MPINGE SHETANI VINGINEVYO UNAENDA KUCHEZEA KIFIRO NA UNALETA LAANA KATIKA UHUSIANO WAKO!!
What goes around must come around!!!