Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

wewe unavo mfanyia masai sio vizuri jiurize ungekua ni ww mruhusu basi na msai wako na yy aende kwa mhindi
 
go ahead, all the best....:bange:,last time ulitaka ushauri wa mmasai na mchagga,leo mmasai na mzungu....baadaye utakuja mmasai na msonjo
vyovyote vile MOYO WANGU UPO KWA MMASAI
last time sikusema kuwa nampenda mchagga ila nichanganywa na mchagga ILE POST IKO WAZI
 
Jambo merytina....mimi iko musungu kabisa........niko tatulia veve shida yako yote kabisa....mimi iko musungu ndani yangu, ila kwa inje iko hapana musungu....sasa hebu vasiliana na mimi.......
hujanielewa
Sina maana ya mzungu ili niondoe economic crisis zangu ila ni mzungu ili nisense ladha ya soda yake yake
 
hizo si hisia bali ndivyo ulivyo hakuna wa kumuudhi bali twakusikitikia dada yetu
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:bange::A S-baby:😛hone:?????????????????????????????????ntataaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!

hujanielewa
Sina maana ya mzungu ili niondoe economic crisis zangu ila ni mzungu ili nisense ladha ya soda yake yake
 
Ww kumbe umedata na mzungu kumbe inawezekana ulisha onja ladha maana uwezikuenda kitu bila kijua ladha yake
 
hujanielewa
Sina maana ya mzungu ili niondoe economic crisis zangu ila ni mzungu ili nisense ladha ya soda yake yake

Kama hapana taka pesa itakua musuri kabisa....hakuna matata...hebu tuma pm.....
 
Jamani Merytina=Marytina amewaomba samahani tena kwenye title mbona mnamwia wakali hivyo wapendwa???
eti dear
inashukuru kumbe sipo mwenyewe nimeona post kadhaa za kufanana nami ingawa sijajua msimamo wako
 
Mchungaji naomba kuwa muumini wako niungame dhambi zangu .........mausanii kwenye nafasi yake waumini watapona kweli?

Karibu sana! Ila uwe na uwezo wa kutunza siri za mchungaji.....na uwe unaelewa haraka
 
inamana hujaenda hata hapo viavia kujipatia mzungu ikashindikana? pili unasema unataka iwe mara moja tu kumsaliti mpenzi wako huoni ya kuwa hako kamchezo katajenga tabia ya usaliti ndani ya ndoa?
i never break rules
Nikisema mara moja sibadilishi nione hivi kimapepe ila sisombwi hata kwa mto Nile
 
Halafu leo nimechoka kweli nlikuwa nataka hata nikutukane ngoja niache tu kwaiyo unataka kufanyaje ati uwiiii...........ngoja niende zangu nikapumzike mie.
please Chauro sorry kwa kuudhika ila mwenzenu nimeburuzika vya kutosha kwa hizi hisia za mzungu 'once'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…