Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
πππππππππKhokhokho tulia taja mahari mwenzio akapate mauno ya kimakonde aiiiiiiii
Basi subiri kidogo mkuu kila kitu kitakaa sawa soonHamna mseee
Subiri mimi Niko PM kwa dogo nazoza atoe namba, hebu hicho kichwa chako kitulie mzeeAaaagh!! Vipi tena mshenga!? Sikuelewiiii
Anakaa sawa soon. Tulia kidogoNamba sasaa
Hahahahaahahah[emoji28][emoji28][emoji28].
Humu jf ukiingia umenuna lazima ucheke.
Eeeh sasa unaona aibu tena? Mshenga gani wewe[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaa sijui kwann umebadili id name...[emoji28][emoji28][emoji28].
Humu jf ukiingia umenuna lazima ucheke.
Umenena vyema.Unajua mtu yyt succesful (hasa men)hawez jiita komred kipepe[emoji28][emoji28]..niamini mm..
Na mtu yyt smart upstairs hawez jiita hvyo..kuna majina yanachagiza sana na ww ulivyo...yaanakisi kbs uhalisia wako...sasa mwnamke timilifu kumfata komredi kipepe[emoji23][emoji23][emoji57]piyemu inaleta "wahka" wa ajabu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Una mapepe kama dada ake naniliii
Umenena vyema.
Jina tuu lina ukakasi. Unaanzaje kusema babe wangu anaitwa Comrade kipepe[emoji28][emoji28]na hio avatar kama kijogoo.
[emoji28][emoji28]changamsha genge tuu ukute na yange yange yupo pm kwa comrade.Hahahahahaahahaha
Nakukubali best halafu nakuelewa. Anyway, tuchangamshe genge kijana anachkulia poa na anaona labda wote humu ni makapuku
[emoji28][emoji28]Ndiwooo nilienda ... ndio tunaumbuliwa hapa![emoji1787]
Eeeh sasa unaona aibu tena? Mshenga gani wewe
Sisi hao.Waelewe kama unavyopaswa kuielewa mitaa.
Sema nini ujue?? Mabinti wa humu wapo class kinoma mzee
Wewe comrade tupumzishe[emoji28][emoji28][emoji28]Ni wale wasiochangia Mada, lakini Hawa tunaokesha nao hapa kuna walakini
Anakaa sawa soon. Tulia kidogo
Eeeeh tulia kwanza Kwani ulishatajiwa kile kiasi?Mkewangu zesh njoo PM hapa kumeshajaa wanga
Best usinisahau kwenye list.Hapana mzee!
Hujapata exposure ya kutosha, humu kuna wadada ni first class kabisa. Unajua vile mtu amehonga wilaya kwa mdada??? Basi wapo wanaume wanaweza honga dunia ili kuwa nao.
Tafadhali naomba usiniambie nkutajie baadhi yao.
Wewe comrade tupumzishe[emoji28][emoji28][emoji28]