Samahani wanawake wote mnaoniPM

Samahani wanawake wote mnaoniPM

Khokhokho tulia taja mahari mwenzio akapate mauno ya kimakonde aiiiiiiii
πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Unajua mtu yyt succesful (hasa men)hawez jiita komred kipepe[emoji28][emoji28]..niamini mm..

Na mtu yyt smart upstairs hawez jiita hvyo..kuna majina yanachagiza sana na ww ulivyo...yaanakisi kbs uhalisia wako...sasa mwnamke timilifu kumfata komredi kipepe[emoji23][emoji23][emoji57]piyemu inaleta "wahka" wa ajabu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Umenena vyema.
Jina tuu lina ukakasi. Unaanzaje kusema babe wangu anaitwa Comrade kipepe[emoji28][emoji28]na hio avatar kama kijogoo.
 
Hapana mzee!

Hujapata exposure ya kutosha, humu kuna wadada ni first class kabisa. Unajua vile mtu amehonga wilaya kwa mdada??? Basi wapo wanaume wanaweza honga dunia ili kuwa nao.

Tafadhali naomba usiniambie nkutajie baadhi yao.
Best usinisahau kwenye list.
 
Back
Top Bottom