Samahani wanawake wote mnaoniPM

Samahani wanawake wote mnaoniPM

FRAGARIAAAAA, PM pangekuja mtu kama wewe hata Uzi nisingefungua, jina lenyewe FRAGARIA, Linaonyesha ni jinsi gani ulivyo mzuri, sio mtu et anajiita manengelo, sasa manengelo Ndio nini??? Si bora angejiita LINENGELO yaani limoja halafu likubwa ahahaahahaa

I love yuuu Fragariiiiiaaaazzzzz
@manengelo umeona hii lakini[emoji28][emoji28][emoji28]?
 
Relief kaniambia et nitume 200k ya sukari, sukari gani ya laki2??? Au mnataka kufungua kiwanda?
Kwahiyo hutaki kuunga mkono juhudi za awamu ya tano? Hujui kama hii ni Tanzania ya viwanda? Kingine baada ya kutajiwa mahari inabidi uwe na kadi ya Chama maana kwetu kuoa lazima uwe na kadi
 
Kwahiyo hutaki kuunga mkono juhudi za awamu ya tano? Hujui kama hii ni Tanzania ya viwanda? Kingine baada ya kutajiwa mahari inabidi uwe na kadi ya Chama maana kwetu kuoa lazima uwe na kadi
Nipo tayari kujiunga katika jeshi la kijani
 
Ile kila comment nikitoa wanaona ipo kishetani shetani hata kama nimeongea fact. Nimeamua kutumia jina langu halisi sasa ili niwe Mimi.
Safiii...hannah montana

Naona kipepe kawapiga stop msifike kwenye piemu yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom